Tundu Lissu ni bwana kigeugeu na ndumilakuwili

mabuba

Senior Member
Dec 5, 2006
133
90
Kuna watu hukubaliana na dhana inayosemwa kuwa ‘usimwamini mwanasiasa’ kuna wakati usemi huu husawiri matendo ya wanasiasa. Tundu Lissu ni kati ya wanasiasa ambao hawapaswi kuamininiwa hata chembe, kwa maneno yake na hata matendo yake.

Tundu Lissu amekuwa mstari wa mbele kumukosoa Rais Magufuli kwa kasi ya kujenga weledi, nidhamu, na hata kusimamia maadili ya utumishi wa umma. Amekuwa akiona kuwa, kwa kuwa Magufuli alikuwa ndani ya serikali za awamu mbili za CCM, hivyo hana jipya bali ataendeleza yale yale ya watangulizi wake.

Pia amekuwa akitumia Lugha za kejeli dhidi ya serikali na Rais, lugha hizi sio bahati mbaya hata kidogo, bali ni dhana ya mchomozo wa kisiasa iliyosheheni, uchokonozi wa mawazo mfu. Kwa musimu zagao twaweza sema anatafuta ‘kiki ya kisiasa’. Hupenda ukwezi na ujuvi kwa halaiki sikizi na hata oni. Ndio maana hata kuongea kwake hutazama watu kwa jicho jivi ili kuona atazamwavyo.

Kwanini Tundu Lissu ndumilakuwili, muda wa miaka 8 kuanzia mwaka 2008-2015, Lissu na wenzake waliawaambia watanzania kuwa LOWASSA ni fisadi. Katika kipindi hicho chote, Lissu aliweza kujitanabaisha kuwa mzalendo mpinga ufisadi, kila kona ya nchi aliwaamisha watanzania kuwa Lowasa ni mchafu, hawezi safishwa hata kwa jiki.

Kipindi CCM ipo katika mchakato wa kumpata mgombea wao wa nafasi ya Urais mwaka (2015) na Lowassa kuonekana kuwa nguvu nunuzi na nunuliwa. Lissu aliwaaambia watanzania CCM inataka kumleta mgombea ambaye ni mchafu, hafai kuwa Raisi wa Nchi.

Undumilakuwili wa Lissu, ulionekana pale yeye na Chama chake walipompokea Yule mchafu wao, na kumfanya kuwa mgombea wa kiti cha Urais. Lissu huyu huyu aliweza kumnadi Lowassa nchi nzima, pasi kuwaambia watanzania lini walimuosha akasafika Yule waliyemnadi kuwa ni mchafu. Huu ndio undumilakuwili wa Lissu, ni mwanasiasa asiyeaminika hata chembe.

Tundu Lissu amekuwa akidai kuwa Mh. Magufuli amekaa miaka 20 serikalini hawezi kubadili lolote, anasahau kuwa mgombea wake wa uraisi yeye amekaa serikalini miaka zaidi ya 30, na kaondoka kwa kashifa. Leo Yule Fisadi kama alivyomuita Lissu ni mjumbe wa Baraza kuu la chama chake, anashiriki kutoa maamuzi mazito ya chama chao wanakaa meza moja naye.

Lissu anajitoa akili kabisa na kuita kila jema ni taka taka (rubbish), huyu bwana kigeugeu hastahili kuaminiwa, amejaa roho ujivuni pasi akili utu, amejawa makovu ya kisrani cha balehe, amekuwa na mawazo nenda rudi, huyu ni mtazamishaji wa dhana uchwara, huyu hafai utumizi wa taaluma yake.

Huyu haoni mabadiriko ya kweli sio yale ya kuzungusha mikono, huyu, haoni utumishi wa umma ulivyobadilika. huyu, haoni mafisadi wanavyotumbuliwa. huyu haoni viwanda vinavyojengwa. huyu haoni huduma za Elimu zinavyoimarika. huyu, haoni barabara zinavyojegwa. Huyu haoni suala la madini linavyoshughulikiwa. Huyu, haoni Esrow aliyopiga kelele inavyoshughulikiwa. Huyu, haoni kodi sasa inakusanywa. HUYU NDIYE MJUVI LISSU BWANA KIGEUGEU, BWANA NDUMILAKUWILI.

Kigeugeu anatabia ya ubinasfi, huona kwanini sio yeye, huyu ndio Tundu Lissu haoni jema linalotendwa na serikali ya awamu ya tano. Ni suala la muda tu, watanzania wasasa wanajua mbivu na mbichi, watasikiliza yako maneno wakati wakitambua wakati.

Kisena Mabuba
Mwanamtaa.
 
Aliyo yasema lissu ni sahihi au si sahihi...
maelezo mengi hoja za msingi hamzijibu, au unafikiri wa tz wa miaka hii ni vilaza kama wa miaka ile!?!?
 
Naona lumumba kunawaka moto sasa mnatafuta namna ya kuuzima, nyie jiandaeni kupora kura tu maana ndicho mnachoweza baada ya kupewa msaada na tiss pamoja na jwtz na ndugu zao police.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hizi nyuzi baada ya nyuzi tumejiridhisha pasi na shaka ujumbe umefika sehemu sahihi. Hapo ndio ninapompendea Lissu, huwa anamwaga dawa za uhakika kiasi kwamba mgonjwa penda asipende atapona. Tuna uhakika hoja zake zitafanyiwa kazi hata kwa aibu.
 
Nani atekeleze hisia hovyo hivyo?
 
Kuna watu hukubaliana na dhana inayosemwa kuwa ‘usimwamini mwanasiasa’ kuna wakati usemi huu husawiri matendo ya wanasiasa. Tundu Lissu ni kati ya wanasiasa ambao hawapaswi kuamininiwa hata chembe, kwa maneno yake na hata matendo yake.

Tundu Lissu amekuwa mstari wa mbele kumukosoa Rais Magufuli kwa kasi ya kujenga weledi, nidhamu, na hata kusimamia maadili ya utumishi wa umma. Amekuwa akiona kuwa, kwa kuwa Magufuli alikuwa ndani ya serikali za awamu mbili za CCM, hivyo hana jipya bali ataendeleza yale yale ya watangulizi wake.

Pia amekuwa akitumia Lugha za kejeli dhidi ya serikali na Rais, lugha hizi sio bahati mbaya hata kidogo, bali ni dhana ya mchomozo wa kisiasa iliyosheheni, uchokonozi wa mawazo mfu. Kwa musimu zagao twaweza sema anatafuta ‘kiki ya kisiasa’. Hupenda ukwezi na ujuvi kwa halaiki sikizi na hata oni. Ndio maana hata kuongea kwake hutazama watu kwa jicho jivi ili kuona atazamwavyo.

Kwanini Tundu Lissu ndumilakuwili, muda wa miaka 8 kuanzia mwaka 2008-2015, Lissu na wenzake waliawaambia watanzania kuwa LOWASSA ni fisadi. Katika kipindi hicho chote, Lissu aliweza kujitanabaisha kuwa mzalendo mpinga ufisadi, kila kona ya nchi aliwaamisha watanzania kuwa Lowasa ni mchafu, hawezi safishwa hata kwa jiki.

Kipindi CCM ipo katika mchakato wa kumpata mgombea wao wa nafasi ya Urais mwaka (2015) na Lowassa kuonekana kuwa nguvu nunuzi na nunuliwa. Lissu aliwaaambia watanzania CCM inataka kumleta mgombea ambaye ni mchafu, hafai kuwa Raisi wa Nchi.

Undumilakuwili wa Lissu, ulionekana pale yeye na Chama chake walipompokea Yule mchafu wao, na kumfanya kuwa mgombea wa kiti cha Urais. Lissu huyu huyu aliweza kumnadi Lowassa nchi nzima, pasi kuwaambia watanzania lini walimuosha akasafika Yule waliyemnadi kuwa ni mchafu. Huu ndio undumilakuwili wa Lissu, ni mwanasiasa asiyeaminika hata chembe.

Tundu Lissu amekuwa akidai kuwa Mh. Magufuli amekaa miaka 20 serikalini hawezi kubadili lolote, anasahau kuwa mgombea wake wa uraisi yeye amekaa serikalini miaka zaidi ya 30, na kaondoka kwa kashifa. Leo Yule Fisadi kama alivyomuita Lissu ni mjumbe wa Baraza kuu la chama chake, anashiriki kutoa maamuzi mazito ya chama chao wanakaa meza moja naye.

Lissu anajitoa akili kabisa na kuita kila jema ni taka taka (rubbish), huyu bwana kigeugeu hastahili kuaminiwa, amejaa roho ujivuni pasi akili utu, amejawa makovu ya kisrani cha balehe, amekuwa na mawazo nenda rudi, huyu ni mtazamishaji wa dhana uchwara, huyu hafai utumizi wa taaluma yake.

Huyu haoni mabadiriko ya kweli sio yale ya kuzungusha mikono, huyu, haoni utumishi wa umma ulivyobadilika. huyu, haoni mafisadi wanavyotumbuliwa. huyu haoni viwanda vinavyojengwa. huyu haoni huduma za Elimu zinavyoimarika. huyu, haoni barabara zinavyojegwa. Huyu haoni suala la madini linavyoshughulikiwa. Huyu, haoni Esrow aliyopiga kelele inavyoshughulikiwa. Huyu, haoni kodi sasa inakusanywa. HUYU NDIYE MJUVI LISSU BWANA KIGEUGEU, BWANA NDUMILAKUWILI.

Kigeugeu anatabia ya ubinasfi, huona kwanini sio yeye, huyu ndio Tundu Lissu haoni jema linalotendwa na serikali ya awamu ya tano. Ni suala la muda tu, watanzania wasasa wanajua mbivu na mbichi, watasikiliza yako maneno wakati wakitambua wakati.

Kisena Mabuba
Mwanamtaa.
Huyu Kisena ana undugu na yule Kisena Msukuma wa UDA?
 
NYIE MAKUKU BUANA:D
 
WEWE HUNA HOJA UNA HAJA SASA USITAFUTE KIKI KWENYE MAMBO YA MASLAHI YA TAIFA LISU AMEONGEA UKWELI MTUPU.
 
Back
Top Bottom