Tundu Lissu: Ndugu zangu popote Tanzania na nje ya Tanzania, nawapa salamu za upendo na furaha kubwa

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
27,952
2,000
Ni vyema ukaendelea na makala nyingi ili usipotee kwenye medani ya siasa,john joseph pombe magufuli alternative known as jiwe anasonga mbele kwa vifaru magari na farasi tukutane 2020!
Shetani mkubwa wewe, ulaaniwe ufe usiku huu shetani wakupokee!
 

mr mkiki

JF-Expert Member
Sep 22, 2016
5,039
2,000
Mungu ni waajabu siku zote.

Leo nilipenda kanisani kutoa hela ili jumapili kuwe na misa ya kumuombea Tundu Lissu kwa ukuu wa Mungu mbele yake

Siku zote kipofu hawezi kumuongoza kipofu mwenzake.
IMG_20180907_190545.jpg
 

Chinsali

JF-Expert Member
Aug 14, 2016
915
1,000
Ni madhumuni ya mungu kuwaonesha wabaya wake kuwa mwenye mamlaka ya kutoa uhai wa mtu ni mungu mwenyewe.I shall return lisu.
 

Francis12

JF-Expert Member
Sep 30, 2016
7,511
2,000
Wewe inaonyesha uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana.
Shambulio dhidi yangu limethibitisha jinsi ambavyo Jeshi la Polisi la Tanzania linavyotumika kutekeleza matakwa ya kisiasa ya walio madarakani. Kwa vile aliyeshambuliwa ni mbaya wa Serikali ya Magufuli, Jeshi la Polisi halijahangaika na kufanya upelelezi wa kijinai wa kitendo hiki cha kihalifu.

Swali langu ni kwamba yessss serikali imehusika!! Kama mnavyodai je Tundu lissu si Mwanasheria??? Mbona hajaenda mahakamani hata familia yake au chama ashikwe huyo ambaye mlimuona anampiga risasi na yeye anamjua kabisa!!!

Staki kubishana sana ktk jambo hili ila nachoshauri hebu siasa zetu ziwe na mipaka na tukumbuke "There is always exceptional to the general rule "nahakika huyu bwana kinachomsumbua ni kujifanya hajui utaratibu wa kisheria sasa akiendelea na mkiendelea kulia lia humu na kwwenye majukwwaa je mtakuwa mmepata suluhisho gani???? Kwann mnakuwa na ufinyu wa akili nmna hii??? Haya endeeleeni kumtusi yule mnayemlazimisha afanye uchunguzi kama atawwsikiliza
 

visagold

JF-Expert Member
Jan 7, 2014
328
250
Mawakili wanapigana sana risasi kwa ajili ya kesi zao za kutetea wahalifu, ... Inawezekana Lisu kuna mtu alisababisha akashindwa kesi kiuonevu akalipiza kisasi kwa kumtwanga risasi...Kuna mwanasheria mmoja Arusha wamemuua hivyo hivyo mambo ya visasi
Huyo mtu akafanya ulinz utolewe, akafanya bunge lisimlipie matibabu, akafanya uchunguz usfanyike!!! Kwelii kabisa mshkaj
 

monongo

JF-Expert Member
Oct 25, 2011
388
225
Inauma sana sijui Jiwe na watu wake wote waliohusika leo wanajisikiaje?Mwaka mmoja baada ya jaribio la kutaka kumuua Tundu Lissu kushindikana.
Walichofanikiwa ni kunivunja vunja viungo vya mwili wangu. Moyo wangu haujavunjika. Nafsi yangu iko vile vile. Na msimamo wangu haujatetereka.

Ernest Hemingway, Mwanafasihi wa Kimarekani na Mshindi wa Tuzo ya Fasihi ya Nobel, aliandika - katika fasihi yake ya 'The Old Man and the Sea' - kwamba 'mtu anaweza kuuawa lakini asishindwe.'
Oh pole sana kamanda wewe ndio umepata jeraha la mauti,unabii kwa ufunuo waYohana umethibitisha kabisa andiko hilo,
 

Mwifwa

JF-Expert Member
Apr 3, 2017
37,143
2,000
Kwa umri wangu huu ambao bado mdogo(wa kawaida) namuomba Muumba wangu anijalie maisha(umri) marefu/mrefu ili nije nishuhudie mwisho wa hawa madhalimu ambao washaanza kujipambanua kwa majina yao stahili.
 

Imeloa

JF-Expert Member
Jan 28, 2013
7,481
2,000
Kipindi hiki wasaliti hawana nafasi kabisa ya kujaza matumbo yao..ukileta ujinga tu kiuno chako mali yetu..otherwise hama nchi mpaka tutakapomaliza kuijenga nchi..kama walivyofanya kina ansbert.
Bogus and Silly.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom