Tundu Lissu, Nchimbi wawapatanisha Mr Sugu na Ruge wa Clouds FM

Kama kupatana kwao kutaleta manufaa kwa wasanii ni jambo jema nadhani SUGU hajakurupuka. Tusubiri tamko rasmi.
 
Afadhali kuachana na bifu..sasa wote kwa pamoja wakae na kuangalia jinsi ya kuendeleza sector ya music..serikali ipate kodi na wasanii wafaidike..
 
Safi sana!Lakini iwe yakweli,Unafiki nisumu mbaya hapo baadae!Tuache kujipendekeza vijana,ifike wakati tuache masilahi binafsi natuwe namasilahi ya watanzania!Inaumiza kuona vijana wanafurahia mambo yasiyoyamaendele nakushabikia siasa zakiporaji mali zauma!Tuwe nauchungu na nchi hi.i
 
Mbona mi siwajui wote hao,huyo Sugu,Ruge na Nchimbi ndio akina nani,mi ndio kwanza nawasikia leo,wamepatanishwa wapi na walikosana nini na lini,pia kwanini???
 
Ila bado na-smell conflict of interest kwa Waziri Nchimbi, maana naona amekaa ki-Clouds clouds sana..Vazi la taifa, birthday, studio etc..vyote vinaashiria kitu..red flag hapa.....
 
Natumai leo jioni Kibonde ataidunda ile ngoma ya anti virus ya kwanza kabisa ( i wanna kill right now) kwenye kipindi chake cha jahazi
 
Safi sana!Lakini iwe yakweli,Unafiki nisumu mbaya hapo baadae!Tuache kujipendekeza vijana,ifike wakati tuache masilahi binafsi natuwe namasilahi ya watanzania!Inaumiza kuona vijana wanafurahia mambo yasiyoyamaendele nakushabikia siasa zakiporaji mali zauma!Tuwe nauchungu na nchi hi.i

MKUU UKO NJE YA TOPIC:focus:
 
Ni jambo jema watanzania wawili wakipatana.
Unganisheni nguvu ili muwatete wasanii
 
Mbona mi siwajui wote hao,huyo Sugu,Ruge na Nchimbi ndio akina nani,mi ndio kwanza nawasikia leo,wamepatanishwa wapi na walikosana nini na lini,pia kwanini???

We kama huna la kuandika nyamaza tu, kama huwajui shauri yako baadhi yetu tunawajua na isitoshe ingekuwa huwajui imekuwaje ujue anayezungumziwa ni waziri Nchimbi wakati hajatajwa kwa jina!? Kama unajiona bora kuliko waliotajwa pole zako!!
 
Back
Top Bottom