Tundu Lissu: Nakuja Tanzania kufanya mikutano ya hadhara na siyo kujifungia chumbani

Wamwache tu aje akifika JNIA awekwe quarantine mwezi na kusachijiwa/ kupekunyuliwa Kila mahali asije kuwa katumwa Delta aka wimbi la tatu.
 
Kushinda uchaguzi bila kufanya ushenzi, ukatili na uhayawani
Utasema haina ushawishi kwa sababu ya hayo mambo ila upinzani nao watasema wana ushawishi ila hatuoni huo ushawishi, ndio maana huo ushawishi tunaupima vp?
 
Mbona Lissu alikuja wakati Magufuli lakini hawakumfanya chochote? Kumbuka Lissu alishasema akirudi "the whole world will be watching"
Yaani imefikia hatua kazi ya siasa za upinzani kwa sasa ni kama kukata hati ya kifo, inakuwa afadhali hata wakati wa siasa za upinzani za kina Mwalimu wakati huo walipokuwa wanakutaniana pale Lumumba hawakupigwa mabomu kuvunjwa miguu. Yote haya ni woga wa CCM kutoa KATIBA MPYA.

Lissu karibu tena, hii ni nchi yako !! Hoja kuu "Katiba mpya"
 
Mbona Lissu alikuja wakati Magufuli lakini hawakumfanya chochote? Kumbuka Lissu alishasema akirudi "the whole world will be watching"
Aliondokaje nchini? Ulishashuhudia raia wa nchi husika anasindikizwa na balozi wa tqifa kubwa duniani hadi Airport - evacuation.

Tanzania inapitia mambo magumu sana; mwalimu angekuwa hai angeifuta CCM.
 
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA mh Tundu Lissu amesema anakuja Tanzania kufanya mikutano ya hadhara na siyo kujifungia chumbani kwa maana ya kufanya mkutano ya ndani.
Anakuja kuipumzisha tigo maana imetumika sana huko. Vipi keshahakikishiwa usalama na Miss Utalii? Maana alisema kurudi huku hadi ahakikishiwe usalama wake kwanza
 
Chama cha Siasa bila kufanya Siasa kinakuwa hakijakamilika, na mtaji wa Wanasiasa ni watu.

Kila la Kheri Mhe. Tundu Lissu

Kumbuka Waliokufanyia yale uliyopitia bado wapo madarakani na wengine wamekuwa promoted kwa nafasi za Juu zaidi za kimaamuzi.
Isipokuwa, Sabaya na Bashite(makamanda wa wasiojulikana)
 
Vipi amehakikishiwa usalama wake?....

Vipi Covid imeisha kiasi cha kuja kufanya mikusanyiko?...

Vipi atamshinikiza Kamanda Siro juu ya kupata haki yake dhidi ya waliomshambulia kwa risasi?, au amemwachia Mungu..?

Vipi atafungua lini mashitaki kudai haki dhidi ya wale waliomshambulia kwa risasi, either kupitia mahakama zetu au kudai haki yake kimataifa?

Kwanini alikimbilia Ubelgiji na sio kwingineko? kwa maana ya nchi nyingine za ulaya kama UK, Germany, USA, Urusi, Romania, Bulgaria, France, Hungary, Georgia nk?..

Kwanini alikimbilia Ulaya na sio mataifa mengine ya Africa kama Kenya, Uganda, Zambia, Namibia, DRC, Gabon, CAR, nk

Vipi ameshamaliza matibabu yake Belgium na madaktari wamemruhusu sasa anaweza kuendelea na harakati za siasa?.


Mbona baada ya kwisha tu kwa uchaguzi alikimbia nchi kupitia balozi za nje?

Mbona alikuwa hafanyi ujeuri huu mbele ya marehemu JPM?...

TUNAPASWA KUWAULIZA MASWALI MAGUMU HAWA WANASIASA KABLA HAWAJATUPELEKA KUNAKOCHUKIZA..
 
Isipokuwa, Sabaya na Bashite(makamanda wa wasiojulikana)
Mkuu wangu punguza ukorofi, hujui Mkuu sana Bashite yupo humu kitambo 😀😀

Jamaa wamekula sana maisha enzi zao, Kama ingekuwa ni level za Malaika walikuwa level ya Mkuu mwenyewe Gabriel 🙊🏃🏻🏃🏻
 
Back
Top Bottom