Tundu Lissu: Naipenda Yanga, ila siipendi rangi yao inanikumbusha mabaya

Jamaa anasema hata kombe la Yanga lilipoenda bungeni hakulikaribia sababu ya rangi ...hahaaa nadhani ilikuwa utani though


Lisu mnafiki na wandishi mliokuwa mkimuhoji ni makanjanja na wanafiki, Mbona hamkumuuliza Tundu Lisu hizo kalamu alizokuwa amezishikilia mkono wa kushoto moja ya kijani mbona hakuitupa tena alikuwa ameishikilia kwa tahadhali isianguke? Ulizeni maswali yasiyokuwa na upendeleo.
 
Yanga Sports Club
Yanga-line-latest1.jpg


YANGA.jpg


SHANGWE%2BYANGA%2B5.jpg


Tanzania
1200px-Flag_of_Tanzania.svg.png


boyflag1.jpg


images


CCM
tz%7Dccmv.gif


3bwnytr9-1492009718.jpg


_86406214_029764843-1.jpg


Nature
4-Nature-Wallpapers-2014-1_cDEviqY.jpg


images


Ukianza kuichukia rangi ya kijani ninauhakika utakuwa unachukia Nature na utakuwa na hatari ya kupata magonjwa mengi ya kisaikolojia. Tundu Lisu anakoelekea hakika siko kuzuri.
 
Basi asile mboga za majani, asile fenesi, asile ndizi mbichi/mbivu,asile pilau ya njano,ashindie uji wa ubuyu na ugalii kama alipokuwa mdogo huko isuna.
Mimi imhotep umenikumhusba mbali sana ulipotaja pilau ya njano! Naona una-refer binzari!
wali ukitiwa binzari ya rangi ya njano
 
Mimi imhotep umenikumhusba mbali sana ulipotaja pilau ya njano! Naona una-refer binzari!
wali ukitiwa binzari ya rangi ya njano
Japo kuwa mimi sio mjuzi sana kwenye mazagazaga ya viungo lakini pilau ikichochewa viungo haswa binzari inakuwa yanga damu.
 
Huyu ndugu yetu Lissu anahitaji matibabu na ni mgonjwa wa Maradhi yanayoitwa PSYCHOPATHY::


What Is Psychopathy?

Psychopathy is among the most difficult disorders to spot. The psychopath can appear normal, even charming. Underneath, he lacks conscience and empathy, making him manipulative, volatile and often (but by no means always) criminal. She is an object of popular fascination and clinical anguish: adult psychopathy is largely impervious to treatment, though programs are in place to treat callous, unemotional youth in hopes of preventing them from maturing into psychopaths.
Magufuli anao huo
 
Hata mm yanga siipendi hata kidogo.. Wala Simba siwapendi.. hata mpira was bongo siupendi kabisaa..
 
Jamaa anasema hata kombe la Yanga lilipoenda bungeni hakulikaribia sababu ya rangi ...hahaaa nadhani ilikuwa utani though


Kumbe kuna tatizo, mama wajawazito ndio hujisikia kichefu chefu kwa vitu mbali mbali lakini sikutegeme Mh Mbunge mwanaume tena mwanasheria wa kutumainiwa angesema hayo.Sisi yetu macho.
 
huyu ndiye mtu wakumwombea siyo yule bwana mwingine
Wandishi wa habari mliokuwa mkimuhoji huyu Mwanasheria kihiyo Tundu Lisu ambaye huenda vyeti vyake ni Feki kabisa, mlishindwaje kumuhoji kwanini awe na kalamu ya kijani tena aishikilie kwa tahadhari ya kutoanguka? Kwanini achukie rangi ya kijani, rangi inakosa gani hadi iwe dhambi? Basi aachane na Yanga aende kokote apendako. Yanga hatumtaki mtu mwehu.
Mimi imhotep umenikumhusba mbali sana ulipotaja pilau ya njano! Naona una-refer binzari!
wali ukitiwa binzari ya rangi ya njano
 
Huyu babu uzee unamjia vibaya, unawezaje kuepuka ukijanikijani humu duniani? mboga za majani ni kijani anazila zinakaa tumboni mwake na anazurura nazo mjini, utakuta hata nyumbani kwake kuna maua ambayo ni ya kijani na anaishi nayo, nguvu anayotumia kusema haipendi kijani source yake ni rangi ya kijani kutokana na chlorophill cells kuwezesha mimea kutengeneza chakula kwa photosynthesis na baadae huyu jamaa anapata chakula na kupata nguvu za kwenda kupayuka bungeni.Aache kukariri mambo,kama vipi akusanye mboga za majani azipeleke pale makao makuu ya chama chake zikawekwe rangi ya kaki kama gwanda zao.POINT YANGU NI KWAMBA TUACHE MPIRA UWE MPIRA NA SIASA IWE SIASA. wapo wafia Simba kama kina Haji Manara lakini wakienda chamani kule CCM wanapiga kijani kama kawaida kwa kuwa kila jambo na mahali pake.
Hahaha nimecheka kwa Sauti kubwa sana mkuu..
 
Tatizo ni yanga kujichanganya kwenye siasa,na hasa siasa za ccm. Angalia mchakato wa simba kubnafisishwa ulipokaribia kukamilika,yanga wakaja na hoja ya kisiasa kwamba yanga ikodiwe.viongozi karibu wote wa ccm wakakataa. Katika hili ccm walifanya makosa kuasili rangi za club. Mpira wa Tz utaendelea kuwa kichwa cha mwendawazimu kwa kuchanganya siasa na mpira. Lakini ukweli ni huu 89% ya washabiki wa yanga ni ccm.
 
Siasa kwenye kila kitu. Bado kidogo atasema haipendi alizeti ingawa inalimwa Singida
 
Back
Top Bottom