Tundu Lissu na Zitto Kabwe wana upeo, ubunifu, weledi na utu kumzidi Magufuli

JokaKuu

Platinum Member
Jul 31, 2006
30,441
55,018
Ikitokea kuna mtu asiyemjua Dr.Magufuli, Tundu Lissu, na Zitto Kabwe.

Halafu akasikiliza HOJA na MICHANGO yao ktk hadhira na mazingira mbalimbali.

Awasikilize wakitoa hoja zao kwa Kiswahili, na hata Kiingereza.

Bila shaka msikilizaji atahitimisha kwamba Dr.Magufuli ana elimu ndogo na limited exposure kuliko Tundu Lissu na Zitto Kabwe.

Naamini suala hili ni moja ya mambo ambayo yanawasumbua sana wana LUMUMBA kiasi cha kupanga mipango miovu dhidi ya Tundu Lissu na Zitto Kabwe.
 
Kinacho msumbua magu ni kwamba, ktk ujana na maisha yake kwa ujumla, waliomzunguka na hata marafiki zake ni watu waliokosa exposures, washamba na wenye kufikiri low.

Kwa asilimia kubwa malezi ya hovyohovyo na ya kimasikini yanamfanya mtu kufikiri kimasikini.

Siwezi kushangaa hata jamii yake, eti mtu anamiliki ngo'ombe 5000, alafu familia inaishi maisha ya shida kupindukia.

Nitajitahidi hata nikaishi hapo Sauzi mwaka mmoja angalau niweze kufikiri tofauti
 
Kuongea na kutenda ni vitu viwili tofauti sana. Siku zote watu wenye kutenda matendo yenye tija huwa siyo wazungumzaji wazuri. Mfano ni Nabii Musa, huyu hakua mzungumzaji mzuri lakini kazi yake inajulikana.

Rais Magufuli hana kipaji cha kuongea kabisa, lakini matendo yake ni moto, hata wewe unamkubali, mzee wa kutumbua majipu na vijipu! Mzee wa Bombardier na fly-over, Mzee wa Viwanda na karakana, cherehani n.k.

Mengine utamalizia mwenyewe.....
 
..usaliti kama kuuza kwa bei ya kifisadi nyumba za serekali tulizoachiwa urithi na Baba wa Taifa.

..halafu tunakwenda kujenga nyumba mpya Dodoma kwa gharama kubwa zaidi na kudai tunamuenzi Baba wa Taifa.
Usifiche mkia kwenye miguu yako

Nyumba za Serikali Muulize unayefua soksi na chupi zake sasa Hivi HAPO UFIPA F.T.SUMAYE
 
Hakuna jipya nakumbuka walioiandaa na kuisoma ile LIST OF SHAME tuliambiwa ni tunu ya taifa mwaka 2007 lakini Leo hii hawataki hata kuisikia.

Umebaki ushabiki wa Simba na Yanga tu hizo hoja na michango zao zimesaidia nini kwenye majimbo yao?

Zitto kawa Mwenyekiti wa PAC and he did nothing angalia halmashauri ya Kigoma ujiji kama Kuna jipya.
 
Ikitokea kuna mtu asiyemjua Dr.Magufuli, Tundu Lissu, na Zitto Kabwe.

Halafu akasikiliza HOJA na MICHANGO yao ktk hadhira na mazingira mbalimbali.

Awasikilize wakitoa hoja zao kwa Kiswahili, na hata Kiingereza.

Bila shaka msikilizaji atahitimisha kwamba Dr.Magufuli ana elimu ndogo na limited exposure kuliko Tundu Lissu na Zitto Kabwe.

Naamini suala hili ni moja ya mambo ambayo yanawasumbua sana wana LUMUMBA kiasi cha kupanga mipango miovu dhidi ya Tundu Lissu na Zitto Kabwe.

Kama kweli, watumie huo upeo kuimarisha vyama vyao, talking is cheap. Miaka 20 CHADEMA hakika hata ofisi, Katiba imebadilishwa ili kuwa na mwenyekiti wa Maisha. Zitto with all his 'social climbing bling bling' amejigeuza kuwa Ayatollah. Upeo?
 
Mtoa mada nakuunga mkono kwa asilimia zote. huyu mtu kwanza amelelewa kimaskini haswa. Niliwahi kusema tena hapa usije mwanaume hata iweje uoe mwanamke aliyelelewa kimaskini maana hata kula yako hata ununue chakula stock kwa stock bado utaishia kula hovyo kabisa..

Huyu amelelewa hivyo so akiona mtu mwenye pesa roho inamuuma na hata akiona mtu anaendesha gari zuri
 
Ikitokea kuna mtu asiyemjua Dr.Magufuli, Tundu Lissu, na Zitto Kabwe.

Halafu akasikiliza HOJA na MICHANGO yao ktk hadhira na mazingira mbalimbali.

Awasikilize wakitoa hoja zao kwa Kiswahili, na hata Kiingereza.

Bila shaka msikilizaji atahitimisha kwamba Dr.Magufuli ana elimu ndogo na limited exposure kuliko Tundu Lissu na Zitto Kabwe.

Naamini suala hili ni moja ya mambo ambayo yanawasumbua sana wana LUMUMBA kiasi cha kupanga mipango miovu dhidi ya Tundu Lissu na Zitto Kabwe.

BASI WAMEKUSIKIA WATAKUNUNULIA NGUO ZA SIKUKUU YA IDD IJAYO !!!
 
Back
Top Bottom