Tundu Lissu na Ujumbe wa TLS, wakutana na Spika na N/Spika kwa Mazungumzo

Spika wa Bunge azungumza na Rais wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS) Mhe.Tundu Lissu na Ujumbe wake.
603b58264a60fb295385fec65738e30a.jpg
6bdbe89fd24fb315f76b6da38d49659f.jpg

Naibu Spika wa Bunge Mhe. Dkt. Tulia Ackson akizungumza na Rais wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS) Mhe.Tundu Lissu na ujumbe wake
9504e675b7ed2960f63193a72a8a7250.jpg
148577b9d1c1602540087cf559d8148e.jpg
Tundu atafurukuta pengine pote, kwa Naibu spika lazima ashike adabu !
 
Siasa ya sasa bila elimu hupigi hatua yoyote, Tundu Lissu ameitumia elimu yake vizuri..

Mwenyekiti wa chama amekuwa ni mtu asiye na matumaini zaidi kuendeleza fitna kubaki madarakani..

Hana hata sifa ya kugombea urais! Nafasi aliyobakiza ni kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani bungeni, na bado haitendei haki nafasi ile..

It's now time for Lissu for chairmanship of CHADEMA. Mbowe must go
 
Mwenyekiti ajaye wa CHADEMA na Mgombea urais wao 2020 akijijenga. Sasa Mbowe na form four failure yake ndiyo bye bye
maana hata vijana wa CHADEMA mitandaoni wamehamia sasa katika kumjenga Lissu.
mmeanza kujitokeza wabunge vilaza wa ccm.
 
nimegundua humu jf kuna wabunge wa ccm wengi,do not take my word for it,angalia comment na post zote za kiwango cha chini utanielewa.
Mkuu Nyabhingi nakuunga mkono kuna watu humu JF upeo wao wa kuelewa na kuchanganua mambo una mashaka sana. Tundu Lissu wa TLS na ujumbe wake amemtembelea Spika na Naibu spika lakini mchangiaji halioni as if TLS ni tawi la Chadema. Hii inatukumbusha Hekaya za Abunuwasi ambapo kipofu alioona kwa muda mfupi halafu akarudi kwenye upofu wake. Katika kipindi hicho kifupi alimwona punda hivyo kila kitu akiiulizwa alikuwa akijibu "ni kama punda?". "Bahari ni kubwa sana!" atauliza "ni kubwa kama punda?"
 
Tundu kajilundikia vyeo vingi sijui kwa tamaa ya pesa au nini. Kiukweli hato kua mfanisi katika hizo kazi zaidi ya kubabaisha. Afu watu wanashabikia badala kuanisha ukweli. Concept ya Division of Labour kwa Tundu ni zero.
Amebabaisha nini Mkuu... Mambo ya plundering plz stop
 
Lissu hapendagi ujinga na kama kuna mjingamjinga ambaye anafikiri atakuwa salama mikononi mwa chama chetu aandike maumivu
 
Mbowe ajitazame sana. Lissu tayari anamuwashia indicators Mbowe tayari kumuovateki kwenye uenyekiti wa CHADEMA na hatimaye kugombea urais hapo 2020.
Akili zako hazina akiri, hadithi hizi unazoleta hapa siuende ukaanzishe Uzi wake!?
 
Huyu Spika na naibu wake wanatakiwa wapate semina elekezi ya namna ya kuendesha bunge la vyama vingi. Waachane na maslahi ya chama, watangulize maslahi ya taifa mbele. Chuki za kisiasa hazitosaidia lolote katika maendeleo ya taifa letu.

Kwa mfano , Wenje na Masha wana sifa zote za kuiwakilisha nchi kule EALA; lakini kwa sababu tu za kisiasa wanazuiliwa!!!! Hata nchi za kigeni huwa wanatushangaa sana.

Pia huko tuendako hatutaki Katibu wa Bunge awe mteule wa Rais. We must adhere to the doctrine of Separation of Powers .
 
Ujumbe wa TLS hakuna mwanamke hata mmoja? Mawakili wa kike hakuna?
Kwani walikatazwa kugombea?
Sasa kama hawakugombea au hata kama waligombea na kura hazikutosha we ulitaka watu wafanyeje? Wapitishwe tu hata kama wamekosa sifa kisa tu jinsia..?
 
Back
Top Bottom