Tundu Lissu na Mwigulu Nchemba,mnautendea haki mkoa wetu.

Sangarara

JF-Expert Member
Sep 29, 2011
13,100
5,649
Wabunge hawa kutoka Singida wameipa sifa Singida.
Leo nimejisikia vizuri na kuona fahari kuwa homeboy wa hawa waheshimiwa pale wafanyakazi wenzangu walivyokuwa wanafuatilia mjadala bungeni.
Wengi wao alitamani kuwa na mbunge aina ya Tundu Lissu.
Tundu Lissu na Mwigulu Nchemba,asanteni kwa kutimiza wajibu wenu kama tunavyotaka wananchi wenu.
Msikatishwe tamaa na fisadi yoyote,tupo nyuma yenu!
 
Utaifa kwanza!
 
hata mm ni mtu wa singida, ila hapa hatupo kwa maslahi ya familia, ukoo, kabila wala ukanda. Taifa letu kwanza ndio kipaumbele.
 
Haya watu wa singida ngoja tuwaachie mada yetu mchangie wenyewe.
 
Je wangekuwa wameharibu ungejitokeza kuwalaani au kuwasema hapa jamvini au ungenyamaza kwa Kuwa ni wa kabila lako?
 
Back
Top Bottom