Sangarara
JF-Expert Member
- Sep 29, 2011
- 13,100
- 5,649
Wabunge hawa kutoka Singida wameipa sifa Singida.
Leo nimejisikia vizuri na kuona fahari kuwa homeboy wa hawa waheshimiwa pale wafanyakazi wenzangu walivyokuwa wanafuatilia mjadala bungeni.
Wengi wao alitamani kuwa na mbunge aina ya Tundu Lissu.
Tundu Lissu na Mwigulu Nchemba,asanteni kwa kutimiza wajibu wenu kama tunavyotaka wananchi wenu.
Msikatishwe tamaa na fisadi yoyote,tupo nyuma yenu!