Tundu Lissu ni miongoni mwa wanasiasa wasiojitambua na haaminiki 2008 aliandika report kuuelezea namna watanzania wanavyopata hasara za kijamaii,kiuchumi na kisiasa kwa sababu ya migodi ya madini soma link hapa?
https://republicofmining.com/2011/0...-by-mark-curtis-and-tundu-lissu-october-2008/
Lissu huyu huyu anawageuka watanzania na kumtetea Lowasa
angalia Link hapa
Je hawa maadui alimaizana nao vipi?
Wakati wa harakati za Migodini alitengeneza maadui wa nje na ndani je anajua?
wafuasi wa Lowasa wakati wa list of shame waliumia kiasi gani?
KUNA ELIMU YA DARASA LAKINI KUNA ELIMU MUHIMU ANAIKOSA