Tundu Lissu na jamaa zako mnajifunza nini kutoka kwa Akon?

Ao kina TL ndo shithole wenyewe trump anaosema...wew baada ya kuungana na nchi yako kupigania rasilimali zetu ndo kwanza unatoa kauli za kumu-undermine Rais na kuwasifia mabwanyenye.
A big shithole rollin in belgium.
Ona sasa..... Kuna connection gani kati ya uminywaji wa demokrasia/wapinzani kuonewa NA rais kupigania rasilimali??

Yaani wabongo bhana..... Kila udhaifu wa magufuli ukipingwa utaskia VITA YA UCHUMI....cjui WAUZA MADAWA

Embu wwe niambie ukipigwa shaba utakaa kimya kisa Rais wako anapigania rasilimali???

Nasubiri jibu
 
Hebu acha kuchanganya vitu ambavyo havina uhusiano! Tundui Lissu hana chochote cha kujifunza kutoka kwa Akon. Watu wengine kwa kukurupuka!!! Duh!
Kwa jibu lako unasikitisha mpaka unavuka mpaka! Ni maiti tu ndio hawezi pata kitu cha kujifunza ktk hili! Sasa kama ww huna cha kujifunza nachelea kusema inawezekana ni mzuka!
 
Maiti Baba yako na yako taahira mkubwa wewe. Ungekuwa unamjua vizuri Lissu katika kutetea wanyonge mbali mbali nchini bila ya kudai hata senti moja na kutetea maslahi ya Tanzania na Watanzania usingeandika huu upuuzi wako. UZWAZWA mwisho lumumba siyo humu.

Unazidi tu kujianika umbumbu wako...namfahamu TL kuliko unavyofikiri ww na mtindio wako wa ubongo ambao bado tu haujathibitishwa na madaktari! Hata kama aliyafanya mambo mema kiasi gani huko nyuma...haya ayafanyayo sasa yanamuweka ktk hali ambayo anatukosea wenye Tz yetu! Kama Tz imemkera kiasi hiki si akahamie kwa hao anaowaona ndugu zake kwa ushamba wa kutowajua wazungu!
 
Kwa akili yako fupi ya upumbavu uliokithiri. Lissu ni mzalendo ambaye ameanza kutetea maslahi ya Watanzania zaidi ya miaka 20 iliyopita lakini taahira wewe huyajui hayo. Leo kwa kauli moja ya Akon eti Lissu ana la kujifunza kwa Akon!!!!

Ni mpumbavu wa hali ya juu wewe kuendelea kuwasujudia hawa wezi, mafisadi, watoa rushwa akina uchwara, Mkapa na Kikwete ambao kwenye nchi ambazo zinajitambua wote hao wangekuwa lupango siku nyingi sana.

Eti Lissu anatukosea wenye Tanzania yetu. Ni hasara kuwa sana kwa Taifa kuwa na MAZUZU kama wewe mnaowasujudia wezi na mafisadi nchini.

Tundu Lisu na jamaa zako wenye mtazamo mfinyu juu ya nchi zetu na Africa yetu hata kufikia kuitangaza kwa mambo ya uzushi na ubaya ktk jumuia za kimataifa jifunzeni vitu kutoka kwa mwanamuziki huyu..

Ambaye kwa ukweli anaongea kwa hekima kuliko ninyi nyotel. Badala ya kutafuta kila nafasi unayopata kuipaka matope Tanzania na Africa yetu, angalieni mazuri na muyatangaze hayo!

Hao wazungu wanayo ya kwao lakini wanayaficha badala yake yanatangaza mazuri tu..

Wewe ni mpumbavu kweli ,Akon alipigwa risasi? Kwanza tofautisha Kati ya activist na musician.
 
Kwa akili yako fupi ya upumbavu uliokithiri. Lissu ni mzalendo ambaye ameanza kutetea maslahi ya Watanzania zaidi ya miaka 20 iliyopita lakini taahira wewe huyajui hayo. Leo kwa kauli moja ya Akon eti Lissu ana la kujifunza kwa Akon!!!!

Ni mpumbavu wa hali ya juu wewe kuendelea kuwasujudia hawa wezi, mafisadi, watoa rushwa akina uchwara, Mkapa na Kikwete ambao kwenye nchi ambazo zinajitambua wote hao wangekuwa lupango siku nyingi sana.

Eti Lissu anatukosea wenye Tanzania yetu. Ni hasara kuwa sana kwa Taifa kuwa na MAZUZU kama wewe mnaowasujudia wezi na mafisadi nchini.
Sasa punguwani, mpumbafu, taahira, mbumbumbu, zuzu ni nani? Wapi nimewakumbatia hao unaowasema!? Ni akili mgando tu ndio haitakuwa na la kujifunza kwa kauli aliyosema Akon! TL alifanya mema siku za nyuma sawa lakini...Hutuishi historia, tunaishi 'leo kuelekea kesho...sasa kama ulikula pilau juzi leo na kesho usipokula pilau ya juzi itakusaidia nini kwa leo na kesho! TL wa miaka 10 iliyopita sio huyu anayetibiwa Belgium! Na mambo anayoshadadia ni watu wenye sifa kama hizo ulizozitaja tu ndio wanaweza kukubaliana nao! Mimi na Tz yangu kamwe siwezi kutegemea hao wezi na wakoloni kunitatulia matatizo yaliyopo nchini kwangu!
 
Wewe ni mpumbavu kweli ,Akon alipigwa risasi? Kwanza tofautisha Kati ya activist na musician.
Siongelei mtu na matukio mabaya yaliyopita, nachoongelea ni kauli iliyotolewa na Akon kuhusu Africa ww ambaye ndio umebeba maana halisi ya upumbafu!
 
Kwa akili yako fupi ya upumbavu uliokithiri. Lissu ni mzalendo ambaye ameanza kutetea maslahi ya Watanzania zaidi ya miaka 20 iliyopita lakini taahira wewe huyajui hayo. Leo kwa kauli moja ya Akon eti Lissu ana la kujifunza kwa Akon!!!!

Ni mpumbavu wa hali ya juu wewe kuendelea kuwasujudia hawa wezi, mafisadi, watoa rushwa akina uchwara, Mkapa na Kikwete ambao kwenye nchi ambazo zinajitambua wote hao wangekuwa lupango siku nyingi sana.

Eti Lissu anatukosea wenye Tanzania yetu. Ni hasara kuwa sana kwa Taifa kuwa na MAZUZU kama wewe mnaowasujudia wezi na mafisadi nchini.
Kama utimamu wa akili zako una mashaka huwezi changia hii maada bila kutoa puvu na matusi...kwa bahati mbaya sasa akili zako mmh!
 
Hebu acha kuchanganya vitu ambavyo havina uhusiano! Tundui Lissu hana chochote cha kujifunza kutoka kwa Akon. Watu wengine kwa kukurupuka!!! Duh!

Ni kweli Tundu Lisu hana cha kujivunza kutoka kwa Akon kwasababu Tundu Lisu ni mpumbavu beyond repair na ni mtu anayeweza kuua nchi nzima ili apate popularity kwa wazungu.
 
Hata hapa kwetu africa kuna watu wanaonufaika direct or indirect na mauaji au ukandamizaji unaofanywa na serikali zao!hawa lazima watakuwa mstari wa mbele kuonyesha dunia kuwa every thing is okey!! Kwenye harakati za kumwondoa dikteta mobutu sese seko huko zaire(congo) kulikuwa na akina Franco(lwambo lwanzo makiadi)ambao walikuwa kwenye payroll ya mobutu kwa kazi ya kuusifia utawala wake! Leo tanzania ina kambi za kisiasa kwenye kila nyanja,hivi ulitegemea kumsikia diamond akiilaumu serikali kwa shambulio la Lissu?

Na kwanini Diamond ailaumu serikali kwa shambulio la Lisu..what reasons do u give him? Ni kwasababu tu CHADEMA wamesema au???

Kama hakuilaumu kwa kifo cha Chacha Wangwe iweje ailaumu kwa shambulio la Lisu.
 
Anayemuona Lisu mjinga, yeye ni mjinga zaidi. Taifa letu lilipo linahitaji kina Lisu wengi mno, unataka polite language na kufichiwa maovu ili iweje!!
 
Akon anaishi marekani na maisha yake kayatengenezea huko, inawezekana hayuko familiar na siasa za bara la afrika, angekuwepo kwao wakati akina fodey sankoh na charles taylor wanaua waafrika wenzao makusudi,angekuwepo akashuhudia yaliyotokea afrika ya kati au angejua historia ya Patrice Lumumba au angejua yanayotokea kwa viongozi wa afrika kujibadilishia katiba ili waendelee kutawala asingesema hayo. naamini anayoyaogelea akon ni mambo madogomadogo mno kama vile ujambazi, magonjwa, ufisadi n.k. haongelei uhuru na demokrasia ya kweli wa watu wa afrika
 
Hujui goliati alikuwa akilituakana jeshi la wana wa Mungu Daud akaja akampiga lwa mawe ya manati sasa hapa goliati ninani kwa mawazo yako kati ya Tundu na serikali? Kama hujui usilopoke ndiyo maana nimecheka tu.
Shithole brains hizo msamehe, majuhas washakuwa wengi, si unaona akina Musiba, Juma Ngamia nk
 
Akon anatokea senegal ambako nazani kwa miaka kumi iliyopita waliamua kuacha mambo ya kitoto na kipuuzi kama yanayofanyika Tanzania kwa sasa na wakaamua kusonga mbele

pili akon na tundu lisu nazani wako tofauti akon ni diaspora ama Mwafrika ambaye anaishi Amerika wakati tundu lisu anaishi kwenye hii nchi yenye viongozi mashitholes

Akon alichoongelea ni geographical and climatical advantages iliyopo africa wakati tundu lissu anaongelea social and political activities zinazotokea africa especialy Tanzania hasa wakati huu wa FID Q

Mwisho kabisa uwe unafikiri kabla ya kukaa nyuma ya keybord na kulevywa ba iyo buku tano

Senegal waliamua kuacha upuuzi wa kuwa na wapinzani wasaliti na wanaopinga kila kitu.

Kama Akoni ni Diaspora na anajua matatizo ya waafrika kwa kiasi kile basi wanatakiwa wakina Tundu Lisu 1000 ili wafikie akili ya Akon 1.

Paragraph ya 3 umeongea uongo usio na aibu kabisa..Akon ameongelea mambo political, economic and social aspects hiyo geographical na climatical advantages ni za kwako unless kama mifano ya zebra and so on ilikuvuruga akili.

Mwisho kabisa Akon kuwa Diaspora hakumfanyi kutokuipenda Africa na Lisu kukaa Tz hakumfanyi kuwa mzalendo.
 
tundu anaye kufanya leo kukuwekea vikwazo kwa wanao tutazama,kama marter luther kule marekani angekuwa ni tundu basi waafrika wote wangeludi afrika au malcom x na harakati zetu,usiwe mjinga kwa mtu na harakati zake bila kutafakari,tambua harakati bila hekima ni sawa na akili bila vitendo,kushindana na mwenzako ndani ya nyumba si kumwaga mbonga au ugali
Kwa hiyo unatwangwa risasi kibao, wanakataa kukupa stahiki zako za matibabu, waliotaka kukutolea damu wanazuiwa, wanaotaka kukutana kukuombea wanazuiwa hata kuvaa fulana zilizoandikwa jina lako kukutia nguvu, ushapewa kesi za kipuuzi kibao.

Huruhusiwi kufanya mkutano, bungeni mnabanwa kukosoa serikali kwa mujibu wa katiba,just to name the few, unatarajia aende akasifie utawala huu, mzima kweli au kama alivyosema Trump?
 
Back
Top Bottom