Tundu Lissu na Godbless Lema wamwache wakili msomi atimize majukumu yake, wasimchanganye!

Nawashauri tu wajumbe wa kamati kuu ya Chadema wanaoishi Ulaya mh Tundu Lisu na mh Godbless Lema wamwachie nafasi wakili msomi Peter Kibatala aweze kutimiza majukumu yake kwa wepesi.

Lisu na Lema wamekuwa wakitoa miongozo mara kwa mara mitandaoni kana kwamba na wao ni miongoni mwa mawakili rasmi wa Freeman Mbowe wanaotambuliwa na mahakama.

Lisu na Lema acheni kuingiza siasa kwenye kesi ya kisheria.

Mungu mpe wepesi Freeman Mbowe aweze kulishinda hili jaribu.
Amen!
Hao mawakili wamekulalamikia wewe kuwa wanachanganywa na Lissu & Lema?
 
Acha kuvuruga watu...tuko serious halafu unaleta mambo ya kizamaniii,

We know

Tunajuwa.

Na laana za ALLAH zitakutafuna weye na waliokutuma.

Kwa lugha zako huyo ALLAH wako ataanza na watu kama wewe. Acha kumshirikisha MUNGU mambo yasiyo na UPENDO. HAKI. UKWELI NA UWAZI.
 
Ushumbwanda eti wakili msomi nani?hizo kesi zinahairishwa na kupewa tar mpya kila siku ni hongo inatembea hapo.vikao hivyo vinalipiwa kilakitu na kibatali anatunisha mfuko wake.
Eti wakili msomi huyo kanjanja huyo usomi gani?
Msando yuko vizuri sana acha kina Magai na wenzake IMMA. uje mkono huku balaa hao ndio wanasheria wasomi.hawasemi
 
Na wewe umeingilia kesi

Wanaficha nini ?!. Aibu ya makamishina kushindwa kujieleza mpaka kuomba kukojoa !!
Ngoja wakukamate uone mbembe zao? Nawaona na zile kauli zao.

" Hiri ni jambazi sugu"

Watu wanasubiria waone na wao eanavyosimama kizimbani. Suo kusimama kwenye media tu.

Kiukweli mawakili wa utetezi wa Mbowe wanatuelimisha na kutupa ujasiri Fulani kwa Hawa maaskari. Somo zuri sana.

Hata raia akiamua kusimama nao kizimbani anamfunga.
 
12 Reactions
Reply
Back
Top Bottom