Kama ndio wabambikiaji wenyewe aseme.Kuna aliyekutuma uwasemee!?
Kama ndio wabambikiaji wenyewe aseme.Kuna aliyekutuma uwasemee!?
Wenzio tulishauriwa tuende burundi,wewe tukushauri uende SudanHawana cha kufanya
Wako busy na clubhouse tu sasa
Wakapata kazi za kufanya watabadilika
Nimepokea maagizoWenzio tulishauriwa tuende burundi,wewe tukushauri uende Sudan
Tofautisha maagizo na ushauriNimepokea maagizo
Ayakuhusu peleka nyaa yako lumumba..Nawashauri tu wajumbe wa kamati kuu ya Chadema wanaoishi Ulaya mh Tundu Lisu na mh Godbless Lema wamwachie nafasi wakili msomi Peter Kibatala aweze kutimiza majukumu yake kwa wepesi.
Lisu na Lema wamekuwa wakitoa miongozo mara kwa mara mitandaoni kana kwamba na wao ni miongoni mwa mawakili rasmi wa Freeman Mbowe wanaotambuliwa na mahakama.
Lisu na Lema acheni kuingiza siasa kwenye kesi ya kisheria.
Mungu mpe wepesi Freeman Mbowe aweze kulishinda hili jaribu.
Amen!
Umenyimwa kipaji cha kutulia kama mgombea urais 2025Panya wengi hawachimbi shimo!
Mkubwa wangu wa kazi akishauri huwa order mkuuTofautisha maagizo na ushauri
Ya kwako umeipeleka Ufipa!Ayakuhusu peleka nyaa yako lumumba..
2025 atagombea Mwamba mwenyewe!Umenyimwa kipaji cha kutulia kama mgombea urais 2025
Ukubwa na udogo tafsiri yake ni ipi?Mkubwa wangu wa kazi akishauri huwa order mkuu
Eti MUNGU mpe wepesi Freeman Mbowe aweze kulishinda hili jaribu 😂😂😂😂😂 maisha hayaNawashauri tu wajumbe wa kamati kuu ya Chadema wanaoishi Ulaya mh Tundu Lisu na mh Godbless Lema wamwachie nafasi wakili msomi Peter Kibatala aweze kutimiza majukumu yake kwa wepesi.
Lisu na Lema wamekuwa wakitoa miongozo mara kwa mara mitandaoni kana kwamba na wao ni miongoni mwa mawakili rasmi wa Freeman Mbowe wanaotambuliwa na mahakama.
Lisu na Lema acheni kuingiza siasa kwenye kesi ya kisheria.
Mungu mpe wepesi Freeman Mbowe aweze kulishinda hili jaribu.
Amen!
si Sabaya we hujasikiaDC gani huyo wa kuuliwa?!
Siyo kila wakati ni ushabiki tu, kuna maisha nje ya siasa bwashee!
Bwashee sidiria zitambana yule mtu wenu,tulieni uhuni hauwabebi kingai kafeli kana mahera wa necNawashauri tu wajumbe wa kamati kuu ya Chadema wanaoishi Ulaya mh Tundu Lisu na mh Godbless Lema wamwachie nafasi wakili msomi Peter Kibatala aweze kutimiza majukumu yake kwa wepesi.
Lisu na Lema wamekuwa wakitoa miongozo mara kwa mara mitandaoni kana kwamba na wao ni miongoni mwa mawakili rasmi wa Freeman Mbowe wanaotambuliwa na mahakama.
Lisu na Lema acheni kuingiza siasa kwenye kesi ya kisheria.
Mungu mpe wepesi Freeman Mbowe aweze kulishinda hili jaribu.
Amen!
Leo kingai kaomba aende haja kubwa kinyesi kilikua kinagonga boksaSiasa siyo uadui mh pilipili kichaa!
Siasa siyo uadui bwashee!Eti MUNGU mpe wepesi Freeman Mbowe aweze kulishinda hili jaribu 😂😂😂😂😂 maisha haya
Siku watafurushwa huko watajutaJamaa wanapambana ili waendelee kupata vibali vya kuishi huko.
Wakati presdaa anaongea hili swala au aijiipii ilikuwa raha kwako etii??Nawashauri tu wajumbe wa kamati kuu ya Chadema wanaoishi Ulaya mh Tundu Lisu na mh Godbless Lema wamwachie nafasi wakili msomi Peter Kibatala aweze kutimiza majukumu yake kwa wepesi.