Tundu Lissu na Godbless Lema wamwache wakili msomi atimize majukumu yake, wasimchanganye!

Nawashauri tu wajumbe wa kamati kuu ya Chadema wanaoishi Ulaya mh Tundu Lisu na mh Godbless Lema wamwachie nafasi wakili msomi Peter Kibatala aweze kutimiza majukumu yake kwa wepesi.

Lisu na Lema wamekuwa wakitoa miongozo mara kwa mara mitandaoni kana kwamba na wao ni miongoni mwa mawakili rasmi wa Freeman Mbowe wanaotambuliwa na mahakama.

Lisu na Lema acheni kuingiza siasa kwenye kesi ya kisheria.

Mungu mpe wepesi Freeman Mbowe aweze kulishinda hili jaribu.
Amen!
Ayakuhusu peleka nyaa yako lumumba..
 
Eti MUNGU mpe wepesi Freeman Mbowe aweze kulishinda hili jaribu 😂😂😂😂😂 maisha haya
 
Nawashauri tu wajumbe wa kamati kuu ya Chadema wanaoishi Ulaya mh Tundu Lisu na mh Godbless Lema wamwachie nafasi wakili msomi Peter Kibatala aweze kutimiza majukumu yake kwa wepesi.

Lisu na Lema wamekuwa wakitoa miongozo mara kwa mara mitandaoni kana kwamba na wao ni miongoni mwa mawakili rasmi wa Freeman Mbowe wanaotambuliwa na mahakama.

Lisu na Lema acheni kuingiza siasa kwenye kesi ya kisheria.

Mungu mpe wepesi Freeman Mbowe aweze kulishinda hili jaribu.
Amen!
Bwashee sidiria zitambana yule mtu wenu,tulieni uhuni hauwabebi kingai kafeli kana mahera wa nec
 
Nawashauri tu wajumbe wa kamati kuu ya Chadema wanaoishi Ulaya mh Tundu Lisu na mh Godbless Lema wamwachie nafasi wakili msomi Peter Kibatala aweze kutimiza majukumu yake kwa wepesi.

Lisu na Lema wamekuwa wakitoa miongozo mara kwa mara mitandaoni kana kwamba na wao ni miongoni mwa mawakili rasmi wa Freeman Mbowe wanaotambuliwa na mahakama.

Lisu na Lema acheni kuingiza siasa kwenye kesi ya kisheria.

Mungu mpe wepesi Freeman Mbowe aweze kulishinda hili jaribu.
Amen!
Wakati presdaa anaongea hili swala au aijiipii ilikuwa raha kwako etii??
Ila lissu na lema wakiongea unaanza washwawashwa tunduni eeh!
Mtundu sana wewe totoo!
Kisemo cha zamani tungekwambia acha kiherehere kamamuke ya balozi.
Kilamtu anahaki kuliongelea swala hili na kutoa maoni yake maana niswala la kimataifa.
 
Back
Top Bottom