Tundu Lissu na Godbless Lema wamwache wakili msomi atimize majukumu yake, wasimchanganye!

Nawashauri tu wajumbe wa kamati kuu ya Chadema wanaoishi Ulaya mh Tundu Lisu na mh Godbless Lema wamwachie nafasi wakili msomi Peter Kibatala aweze kutimiza majukumu yake kwa wepesi.

Lisu na Lema wamekuwa wakitoa miongozo mara kwa mara mitandaoni kana kwamba na wao ni miongoni mwa mawakili rasmi wa Freeman Mbowe wanaotambuliwa na mahakama.

Lisu na Lema acheni kuingiza siasa kwenye kesi ya kisheria.

Mungu mpe wepesi Freeman Mbowe aweze kulishinda hili jaribu.
Amen!
Kuna aliyekutuma uwasemee!?
 
Mungu yupi yaani
1. unawatumia watu wenye shida baada ya kufukuzwa kazi na unawapa kazi ya kuuwa mtu
2. unapanga kumuua mtu siyo mtu DC
HALAFU MUNGUI AKUSIKILIZE
Mungu gani mjinga wa hivyo
 
DC gani huyo wa kuuliwa?!

Siyo kila wakati ni ushabiki tu, kuna maisha nje ya siasa bwashee!
 
Nawashauri tu wajumbe wa kamati kuu ya Chadema wanaoishi Ulaya mh Tundu Lisu na mh Godbless Lema wamwachie nafasi wakili msomi Peter Kibatala aweze kutimiza majukumu yake kwa wepesi.

Lisu na Lema wamekuwa wakitoa miongozo mara kwa mara mitandaoni kana kwamba na wao ni miongoni mwa mawakili rasmi wa Freeman Mbowe wanaotambuliwa na mahakama.

Lisu na Lema acheni kuingiza siasa kwenye kesi ya kisheria.

Mungu mpe wepesi Freeman Mbowe aweze kulishinda hili jaribu.
Amen!
Chadomo ni ukoo wa kambale

USSR
 
Naomba kufahamu hawa mawakili wasomi wanasoma tofauti na mawakili wengine wasio wasomi? Maana naona kama ni hivyo hakuna uwiano wa haki kwa wakili msomi kumpambanisha na wakili asiye soma.
 
Hii kesi, Mbowe kabambikiwa kisiasa au kisheria?

Kawape ushauri jumuia ya chama inayoongozwa na Siro, wasiingilie utaratibu wa mahakama. Hukusikia kuwa leo waliingilia taratibu za mahakama mpaka ikabidi kesi kuchelewa?
 
Nawashauri tu wajumbe wa kamati kuu ya Chadema wanaoishi Ulaya mh Tundu Lisu na mh Godbless Lema wamwachie nafasi wakili msomi Peter Kibatala aweze kutimiza majukumu yake kwa wepesi.

Lisu na Lema wamekuwa wakitoa miongozo mara kwa mara mitandaoni kana kwamba na wao ni miongoni mwa mawakili rasmi wa Freeman Mbowe wanaotambuliwa na mahakama.

Lisu na Lema acheni kuingiza siasa kwenye kesi ya kisheria.

Mungu mpe wepesi Freeman Mbowe aweze kulishinda hili jaribu.
Amen!
MATAGA wa kumuonea huruma Mbowe?
 
Naomba kufahamu hawa mawakili wasomi wanasoma tofauti na mawakili wengine wasio wasomi? Maana naona kama ni hivyo hakuna uwiano wa haki kwa wakili msomi kumpambanisha na wakili asiye soma.
Wote ni wasomi bwashee!
 
Nawashauri tu wajumbe wa kamati kuu ya Chadema wanaoishi Ulaya mh Tundu Lisu na mh Godbless Lema wamwachie nafasi wakili msomi Peter Kibatala aweze kutimiza majukumu yake kwa wepesi.

Lisu na Lema wamekuwa wakitoa miongozo mara kwa mara mitandaoni kana kwamba na wao ni miongoni mwa mawakili rasmi wa Freeman Mbowe wanaotambuliwa na mahakama.

Lisu na Lema acheni kuingiza siasa kwenye kesi ya kisheria.

Mungu mpe wepesi Freeman Mbowe aweze kulishinda hili jaribu.
Amen!
Hawana cha kufanya

Wako busy na clubhouse tu sasa

Wakapata kazi za kufanya watabadilika
 
Back
Top Bottom