Tundu Lissu: Mwl. Nyerere alizoea kuishi kwa uongo na udanganyifu

Kitendo cha TL kumkashifu Mwalimu Nyerere ndicho kimemaliza kisiasa.

Anajaribu kuwa mtu huru mwenye maoni huru lakini ameshindwa kuelewa ni kwa namna gani fikra na nafsi ya Nyerere ilivyo hai bado licha ya kuwa kaburini kwa miaka 20.
 
Dunian kuna mambo ya ajabu sana, eti nyerere alikuwa mstari wa mbele ukombozi kusini mwa Africa wakati huo yeye kaikalia zanzibar
 
Falsafa ya mwalimu ya ukombozi kusini mwa Africa haikuwa na genuine simply tu nyerere naye alikuwa dictator kama walivyokuwa wakoloni na makaburu, mfano mdogo tu ni. Kufuta mfumo wa vyama vingi
 
Dunian kuna mambo ya ajabu sana, eti nyerere alikuwa mstari wa mbele ukombozi kusini mwa Africa wakati huo yeye kaikalia zanzibar
Mtu mwenye akili hawezi kujivunia uzanzibari....Wenye busara na hekima wanaelewa maana ya Zanzibar na Tanganyika kuwa kitu kimoja, kule kuna wandengereko, wayao, wanyasa, wagogo na wengine wengi tu wenye asili ya huku bara.
 
Lissu omba radhi. Kumtukana Nyerere ni kuwatukana watanzania

Aah, bwana kweli kabisa?

Tatizo lenu wengi mnadhani ni "taboo" kuwasema viongozi waliopita kwa makosa yao kwa lengo la kujifunza ili kizazi cha Leo kisijefanya makosa kama hayo....

Ikitokea hivyo, mnadhani na kutaka kuaminisha watu kuwa, huko ni kutukana....!!

Hakuna tusi lolote hapo. Kama alivyoainisha mleta mada, alichokisema Tundu Lissu karibu miaka 6 iliyopita ni kile ambacho kinaonekana kama mwiko (taboo) kwa wengi....

Thanks to Tundu Lissu because he has broken that damaging taboo!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom