Tundu Lissu: Mwl. Nyerere alizoea kuishi kwa uongo na udanganyifu

Lisu ana laana ya nyerere (true son of Africa) na ana Baraka za wavuta bangi na wapiga dili ,

Lisu husapotiwa na ka kikundi flani cha watu wenye mtindio wa Ubongo

R.I.P Baba wa Taifa (JKN)
 
Ww n jinga kabisa kwan who is Nyerere, so unataka kusema ata babaako akikosea hutohoji et kisa tu alikuzaa!! No 1 is perfect bwana kwan Nyerere n malaika asikosee
 
Huyu jamaa ni kichaa, na nina wasiwasi anavuta cha arusha. Anaongea tu kama kengele bila breki
 
Lisu ana laana ya nyerere (true son of Africa) na ana Baraka za wavuta bangi na wapiga dili ,

Lisu husapotiwa na ka kikundi flani cha watu wenye mtindio wa Ubongo

R.I.P Baba wa Taifa (JKN)
Mpuuzi haswa we jamaa
 
Kuna kitu nilisoma katika kitabu kimoja hivi(JIna limehifadhiwa)kilipigwa marukufu
kunakama list ya watu zaidi ya 25 ambao waliwekwa kizuizini kwasababu fulani fulani za kuweka mambo fulani fulani hadharini
wakati akina fulani fulani hawakutaka yajulikane na akinafulanifulani
Kweli nchi a akina fulani ni yawatu fulani ukijfanya kama fulani kinakukuta cha akina fulani
jamani mimi sio kama fulani fulani hapa nawewe usiwe kama fulani fulani
 
Shemeji yako (mume wa dada) amekupa simu ucheze games ili utulie na kuacha fujo hapo nyumbani. Matokeo yake unaingia JF na kuandika makorokocho ya Ze Utamu. Jitafakari kijana.
 
Ha ha ha ha ha ha ha
game langu ni kuchezea akili za wenye makorokocho kama wewe
ndio maana umeyaona makorokocho yangu na umeyajibu
tayari game over nimeshinda
haya zamu yako sasa kuandika makorokocho
 
Ila kiukweli Kiongozi wetu alitulostisha kwa idea yake ya ujamaa.
Na pia kuhangaikia Uhuru wa majirani maana vilitucost muda na pesa.
Ona miaka Zaid ya 50 bado miundombinu Ni changamoto.
Magufuri hakutakiwa kuhangaikia miundombinu kwa Sasa . Hii ilikuwa ya awamu ya Kwanza ukiangalia Hilo bwawa la umeme, kuhamia Dodoma.
Ila sio kesi Sana cha msingi Ni kuendelea kupambana na changamoto zinazotukabili Kama Taifa.

Tusisahau kuchagua Viongozi Bora na sio Bora Viongozi.
 
Nyerere katuroga. Nashindwa kufahamu hawa wanaomuona kama nabii.

Ametutia njaa kabisa. Wananchi wote kawafanya mafukara na wajinga. Wakati watu walikua wanapiga hatua sisi tulikua tumelala kabisa. na hayo ni ndani ya utawala wake.

Mzoea vya kunyonga vya kuchinja haviwezi. Namuunga mkono Lissu
 
Yaaani sijui limbwata alilotumia alilitoa wapi
Kuna makala huko nje ishawahi andika kama kiongozi tractor
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom