Tundu Lissu mwanasheria asiyetii na kufuata sheria. Katika hili hatuhitaji huruma lazima tufuate sheria tulizojiwekea

Philipo Mwakibinga

Senior Member
May 13, 2013
111
175
*TUNDU LISSU MWANASHERIA ASIYETII NA KUFUATA SHERIA. KATIKA HILI HATUHITAJI HURUMA LAZIMA TUFUATE SHERIA TULIZOJIWEKEA*

Na; *Philipo Mwakibinga*

Kwanza niseme kuwa Tundu Lissu hajafukuzwa Bungeni na Spika wa Bunge Ndugu, J Ndugai kama ambavyo akina Mbowe na Wenzawao wanavyopotosha kwa *UMMA* bali sheria zilizotumika kumuweka Bungeni miaka minne iliyopita ndiyo zimemkataa isipokuwa tu, ni kwamba Spika amechelewa sana kuchukua hatua hadi Mhusika alifikiri ni kawaida tu kuvunja sheria.
Hebu tupitie kidogo hapa kisha tusemezane.

Kwa mujibu wa Katiba ya Jamuhuri ya Muungano ya Tanzania ya Mwaka 1977 pamoja na mambo mengine imeweka wazi vizuri *SIFA ZA MTU KUWA AMA KUTOKUWA MBUNGE*. Mfano:
katika IBARA YA
67(2)
(b) Ikiwa kwa mujibu wa sheria inayotumika katika Jamuhuri ya Muungano imethibitishwa rasmi kwamba mtu huyo ana *ugonjwa wa akili;*

Hapa maoni yangu;
*Mimi naona kuwa Lissu alishanza kuugua ugonjwa wa akili tangu pale alipoanza kusimulia undani wa tukio ambalo hata yeye hakulishuhudia tena kwa kuegemea upande mmoja wa viongozi wa chama chake na kutotoa fulsa ya vyombo vya kisheria kufuata sheria mfano Lissu ameendelea kukataa kuhojiwa kwa Dereva wake. Ugonjwa wa akili wa Lissu mwingine ni kuaminisha ulimwengu kuwa dereva wake anaumwa saikolojia pasipokuwa na ushahidi wa daktari. Huwezi kuamini kuwa mtu anayo akili timamu anatumia nguvu nyingi kumficha Dereva wake asihojiwe na Jeshi la Polisi ilikupata taarifa za tukio lake la kuumizwa. Lissu asingekua na Ugonjwa wa akili asinge kataa kumtoa shahidi namba moja wa tukio lake la kuvamiwa na kuumizwa.* hivyo nikupoteza muda kuanza kutafuta maana ya mgonjwa wa akili.
***
*IBARA YA 67 (2)*
(d) ikiwa katika kipindi cha miaka mitano kabla ya tarehe ya Uchaguzi Mkuu amepata kuhukumiwa na kupewa adhabu ya kifungo kwa kosa linalo ambatana na utovu wa uaminifu au *kwa kuvunja Sheria ya Maadili ya Viongozi wa Umma;*

Ufafanuzi;
Hapa nikwamba Lissu hana sifa ya kuwa Mbunge sasa katika *the coming By-Election na hata General Election ya 2020.*
*Sheria hiyo hapo iko wazi kabisa kutoa taarifa ya mali na madeni kwa kiongozi ni jambo lilipo kisheria. Lissu hawezi kuwa anazunguka kila kona Duniani, kuitukana Tanzania, kutukana viongozi, kutukana Serikali huku akiwa anakula nyama na pombe. Lissu anakumbuka kuutangazia Ulimwengu kuwa anapenda kazi na bata lakini anasahau kuandika tamko la maadili inawezekanaje?!*
*Nikweli akina Mbowe walikuwa hawalioni hili? Muda wote waliokumbuka kufuatilia stahiki za Lissu hata wakafanikiwa kwani hawakujua kulinda sheria zinazoweza kumfanya Lissu aendelee kuwa kiongozi? Lissu mwenyewe alishawahi jinasibu kuwa ni mtu timamu utimamu wake uko wapi katika hili?.*

*LISSU NA CHADEMA TAMBUENI KUWA UKIDHARAU UBUNGE UMEDHARAU NA URAIS.*

*IBara ya 39.- (1)Mtu hatastahili kuchaguliwa kushika kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano isipokuwa tu kama -*
(d) anazo sifa za kumuwezesha kuwa Mbunge au Mjumbe wa Baraza la Wawakilishi;

Ufafanunuzi.
Kama tumeelewa pale juu Lissu hana sifa tena za kuwa Mbunge hapa Tanzania labda huko Ubeligiji au kwingineko anakozunguka kula nyama na pombe.
Hapa lazima Lissu ajue kuwa mkwara yake na maandalizi yake ya Urais imekwama na ajiandae kurudisha pesa alizochukua kwa Mabeberu kwaajili ya mbio zake za Urais 2020.
*Deal limekua issue* katiba na sheria zetu zitamkataa na katika hili nashauri vyombo vinavyosimamia sheria zetu kuhakikisha hazichezewi hata kidogo.

*WAPINZANI NDUMILA KUWILI*
Kila kukicha mnapiga kelele kuwa mnataka sheria za Nchi zifuatwe SPIKA ANAFUATA, mnasema uonevuu. MBOWE WAAMBIE UKWELI WANACHADEMA KUWA SASA HALI ZENU MBAYA KULIKO WAKATI MWINGINE MAANA PUMZI IMEKATA.

*Sheria zifuatwe na zifanye kazi kama tulivyojiwekea*
 
Mbona hamna wanyakyusa wajinga hivi ?
 
Mwanafyale... UMEFUKA MOSHI wa maana, TENA WA KUNI MBICHI.....
 
wewe lazima utakuwa ni "Mnyakyusa wa Dar".
shemeji zangu Wanyaki siyo mapopoma kihivi!
 
Labda wanasheria waje kutusaidia, inawezekana ana hoja ila kashindwa kuziwakilisha kwa lugha nyepesi. Ndg yangu umeandika kama ulikuwa unakimbizwa.
 
lissu anasema dereva wake hayupo sawa
*TUNDU LISSU MWANASHERIA ASIYETII NA KUFUATA SHERIA. KATIKA HILI HATUHITAJI HURUMA LAZIMA TUFUATE SHERIA TULIZOJIWEKEA*

Na; *Philipo Mwakibinga*

Kwanza niseme kuwa Tundu Lissu hajafukuzwa Bungeni na Spika wa Bunge Ndugu, J Ndugai kama ambavyo akina Mbowe na Wenzawao wanavyopotosha kwa *UMMA* bali sheria zilizotumika kumuweka Bungeni miaka minne iliyopita ndiyo zimemkataa isipokuwa tu, ni kwamba Spika amechelewa sana kuchukua hatua hadi Mhusika alifikiri ni kawaida tu kuvunja sheria.
Hebu tupitie kidogo hapa kisha tusemezane.

Kwa mujibu wa Katiba ya Jamuhuri ya Muungano ya Tanzania ya Mwaka 1977 pamoja na mambo mengine imeweka wazi vizuri *SIFA ZA MTU KUWA AMA KUTOKUWA MBUNGE*. Mfano:
katika IBARA YA
67(2)
(b) Ikiwa kwa mujibu wa sheria inayotumika katika Jamuhuri ya Muungano imethibitishwa rasmi kwamba mtu huyo ana *ugonjwa wa akili;*

Hapa maoni yangu;
*Mimi naona kuwa Lissu alishanza kuugua ugonjwa wa akili tangu pale alipoanza kusimulia undani wa tukio ambalo hata yeye hakulishuhudia tena kwa kuegemea upande mmoja wa viongozi wa chama chake na kutotoa fulsa ya vyombo vya kisheria kufuata sheria mfano Lissu ameendelea kukataa kuhojiwa kwa Dereva wake. Ugonjwa wa akili wa Lissu mwingine ni kuaminisha ulimwengu kuwa dereva wake anaumwa saikolojia pasipokuwa na ushahidi wa daktari. Huwezi kuamini kuwa mtu anayo akili timamu anatumia nguvu nyingi kumficha Dereva wake asihojiwe na Jeshi la Polisi ilikupata taarifa za tukio lake la kuumizwa. Lissu asingekua na Ugonjwa wa akili asinge kataa kumtoa shahidi namba moja wa tukio lake la kuvamiwa na kuumizwa.* hivyo nikupoteza muda kuanza kutafuta maana ya mgonjwa wa akili.

unataka ushahidi wa daktari juu ya saikolojia ya dereva, halafu hapohapo unamuita Lissu mgonjwa wa akili bila ushahidi wa daktari?

unaakili sawasawa wewe?
 
Back
Top Bottom