Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 121,907
- 95,182
Dialo kakubali kumuonyesha Lissu?Star tv na kiss fm au dstv namba853
Amakweli nimeamini watu walikuwa wanaishi kwa uoga uliopitiliza
Dialo kakubali kumuonyesha Lissu?Star tv na kiss fm au dstv namba853
Angalia hapa ndugu: Sauti ya Amerika © %yyyy%Tangu saa 3 kamili namsubiria Tundu Lisu na PLO Lumumba luningani Star tv lakini siwaoni.
Namuona hayati Magufuli akihutubia enzi za uhai wake.
Kulikoni?
Maendeleo hayana vyama!
Hii ni awamu ya 6 bwashee!Wee nenda tbc kaangalie kishindo cha awamu ya tano
Naona ratiba tu bwashee!Angalia hapa ndugu: Sauti ya Amerika © %yyyy%
853Dstv ni channel gani Mkuu nataka kusikiliza madini
Lakini unayajua maumivu aliyapitia Lisu ni makubwa kiasi gani?Unafiki tu baada ya kusemwa saana.
Lisu nilikua na mkubali Sana lakini Ana vichuki Fulani na mtu wa visasi Sana . Nafikiri kiongozi hafai labda kiuhanarakati na pengine angejiunga na vikindu vya waasi msituni tu maana wanaaminigi ktk kuua na kulipiza kisasi tu.
Angepata credit na kuonyesha ukomavu wake kipindi cha msiba lakini ndo alikua Ana kenua meno yote 32
Bonyeza hapo walipo andika orodha ya sauti, halafu bonyeza kwa undaniNaona ratiba tu bwashee!
Channel gani mkuu??Naangalia VOA LIVE, LISSU amemaliza kila kitu
Naangalia VOA LIVE, LISSU amemaliza kila kitu.
Nakuambia lumumba kabaki mdomo wazi jamaa anatema nondo hakuna mfanoNaangalia VOA LIVE, LISSU amemaliza kila kitu.
Kama maumivu Ni hoja basi Mandela asingesamehe sikuzoteLakini unayajua maumivu aliyapitia Lisu ni makubwa kiasi gani?