Unafiki tu baada ya kusemwa saana.
Lisu nilikua na mkubali Sana lakini Ana vichuki Fulani na mtu wa visasi Sana . Nafikiri kiongozi hafai labda kiuhanarakati na pengine angejiunga na vikindu vya waasi msituni tu maana wanaaminigi ktk kuua na kulipiza kisasi tu.
Angepata credit na kuonyesha ukomavu wake kipindi cha msiba lakini ndo alikua Ana kenua meno yote 32
Lakini unayajua maumivu aliyapitia Lisu ni makubwa kiasi gani?
 
Naangalia VOA LIVE, LISSU amemaliza kila kitu.

Update : Lissu anasema, aliandikiwa Whathap na watu wa Nairobi hospital kuwa wana Magufuli yupo taabani na Corona na hawaoni kama atopona. Akawambia mwekeni kwenye chumba nilicholazwa mimi,
kinabaraka kile atapata nafuu.

Lissu unapepo yako Mbinguni
 
CCM Bila Police Ni Wepesi
Msechu Kawaambia
Mwamba Wetu Imara Ona Amelala 😅😃😂
Bashiru Anakwenda Kemondo!!
 
25 Reactions
Reply
Back
Top Bottom