Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,243
- 34,899
Akijibu hoja ya kutolipwa mshahara wake, mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu amesema hatakufa kwa njaa kama ambavyo hakufa kwa kupigwa risasi,kwani hata Mwalimu Nyerere alifukuzwa kwa sababu za kisiasa, lakini haikumzuia kuendelea na harakati za kudai uhuru wa Tanzania, ambayo wakati huo ni Tanganyika.
Mimi nimenusurika jaribio la mauaji la kushambuliwa kwa risasi sehemu mbalimbali za mwili wangu, bado niko hai na bado nazungumza. Nimenyimwa matibabu na Spika Job Ndugai na watu wake na bila uhalali wowote wa kisheria, pamoja na hayo bado maelfu ya watu, Watanzania na wasio Watanzania, wamejitokeza kunitibu na nimepata tiba bora kabisa” – Tundu Lissu, Mbunge wa Singida Mashariki.