Tundu Lissu: Msiponilipa Mshahara, Sitakufa kwa njaa kama ambavyo sikufa kwa kupigwa risasi

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,248
2,000
Akijibu hoja ya kutolipwa mshahara wake, mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu amesema hatakufa kwa njaa kama ambavyo hakufa kwa kupigwa risasi,kwani hata Mwalimu Nyerere alifukuzwa kwa sababu za kisiasa, lakini haikumzuia kuendelea na harakati za kudai uhuru wa Tanzania, ambayo wakati huo ni Tanganyika.

Mimi nimenusurika jaribio la mauaji la kushambuliwa kwa risasi sehemu mbalimbali za mwili wangu, bado niko hai na bado nazungumza. Nimenyimwa matibabu na Spika Job Ndugai na watu wake na bila uhalali wowote wa kisheria, pamoja na hayo bado maelfu ya watu, Watanzania na wasio Watanzania, wamejitokeza kunitibu na nimepata tiba bora kabisa” – Tundu Lissu, Mbunge wa Singida Mashariki.
 
Kirikou Wa Kwanza

JF-Expert Member
May 24, 2013
3,556
2,000
Hakuna mtu anayependa kuishi maisha ya shida. Kumbe huyu balidhuli, kichaa chake sasa kimepanda kachanganyikiwa zaidi kusikia atakatwa mshahara... Amesahau kuwa suala hilo limeangaliwa kisheria na kawaida ya sheria huwa haina upande, wala mswalie mtume, sheria inakula huku na huku.

Sasa huyu mbwa kichaa anakuja kutuletea hadithi ya Mwl. ambaye huko nyuma aliwahi kumkandia life style yake kuwa ni ya uongo na ujanja ujanja. Aisee kweli mdomo hauwezi kuacha kuongea hata kwa yale ambayo yataumiza nafsi, au maslahi yako. Kisu kimegusa mfupa, na bado!
 
Pythagoras

JF-Expert Member
Feb 24, 2015
11,080
2,000
Akijibu hoja ya kutolipwa mshahara wake, mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu amesema hatakufa kwa njaa kama ambavyo hakufa kwa kupigwa risasi,kwani hata Mwalimu Nyerere alifukuzwa kwa sababu za kisiasa, lakini haikumzuia kuendelea na harakati za kudai uhuru wa Tanzania, ambayo wakati huo ni Tanganyika.

Mimi nimenusurika jaribio la mauaji la kushambuliwa kwa risasi sehemu mbalimbali za mwili wangu, bado niko hai na bado nazungumza. Nimenyimwa matibabu na Spika Job Ndugai na watu wake na bila uhalali wowote wa kisheria, pamoja na hayo bado maelfu ya watu, Watanzania na wasio Watanzania, wamejitokeza kunitibu na nimepata tiba bora kabisa” – Tundu Lissu, Mbunge wa Singida Mashariki.
Mstari wa kifo baba u.eshauvuka hivi kwa nini hawa jamaa hawaekewi?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom