yaani haoo jamaa kama mabwege vile...wanpoteza fedha za umma tu kwa nonsense zao...tanzania bado tuna safari ndefu sweetlady!
Mzalendo mimi nipatie hiyo kitu kwenye avatar yako nikawapunguze hawa wasaniiDawa mi naona ni kuingia msituni na kuja wakuwang'oa Mafisadi Kikwete na Mama Kiroboto wa Bunge la vilaza:alien:
yaani nimesikitikia kweli...hivi kweli ndio kazi waliyotumwa na wapiga kura wao? lile sio bunge ila ni halmashauri ya makada wa chama tawala,sio watunga sheria abadanikama kuna idara au taasisi inayokula kodi zetu bure basi ni hili bunge la ccm!ushabiki tuu bila kuangalia maslahi ya wananchi
tunawasubiri kwenye katiba mpya...wataona huo ubunge mchungu kama shubiriUkijaribu kuifkiria safar ilyopo mbele yetu ni kubwa, tunakwamishwa na wajinga wachache, ila naamini kuna siku tutafika kwenye Tanzania yenye Neema bila mafisadi. Huwezi kuamini watu na akili zao wanaweza kufanya mambo ya kijinga namna hii. Inaudhi mnooo! Iko siku.
Haingii mtu msituni acheni ufala mnadhani vita mchezo enh..? waulizeni ivoricost muda mfupi tu wa vurugu wamekom!
Lissu alikuwa na hoja za kurekebisha vifungu vya muswada wa sheria.kama kuwaongezea bajeti wasikwame kufanya session na pia kupinga kifungu kinachotaka maRC na maDC kuwa kwenye kamati ya maadili ya kuwaregulate mahakimu wakati wao hawana weledi wa sheria.Pia muingiliano wa raisi ktk muhimili wa mahakama usiwepoJamani tupeni basi hiyo hoja iliyojadiliwa, wengine hatuna access kabisa na hiyo Star tv. Werema kasemaje, Lissu kasemaje nk.
Mambo yamepamba moto bi.kiroboto amekasirika analalama ameyumba angalieni tbc
Hawa jamaa kila kitu kinachotolewa na serikali wanasupport hata kama hakina maslahi kwa watanzania. Ilimradi maslahi ya serikali ya ccm hayavurugwi ndo maana kila ujinga wanasupport shame upon them
<br />she is like a plastic doll...hamna kitu kabisaa