Hoja hii ya Mnyika haina mashiko hata chembe msingi wa kuwalipa au kutowalipa DOWANS ni sheria tu na wala siyo vipaumbele vya wepi wanastahili kufikiriwa gawiwo la kitaifa................................................
Mnyika anapaswa ajikite zaidi katika kuchambua uhalali wa madai ya DOWANS kisheria ili aweze kulisaidia taifa hili kwenda mbele au kubaki hapo lilipo au hata kurudi nyuma kimaendeleo............................Malipo ya DOWANS yankinzana na sheria za nchi na hiyo ndiyo sababu ya kukataa kuyalipa na kushinikiza serikali kwenda mahakamani kuhoji TUZO ya kitapeli ambayo DOWANS walipewa

Ninaomba kumuomba mbunge wangu, Mh John Mnyika aulize ni kiasi gani cha pesa kimerudishwa serikalini kutokana na kushindwa kutumika kwenye halmashauri ya wilaya ya Kinondoni. Nataka kujua kama zilirudishwa kwa nini bado hakuna miundombinu ya kuaminika kwenye maeneo ya penzoni kwenye wilaya hii?