Tundu Lissu: Mnapoambiwa tumekombolewa, mjue ndani ya miaka 5 tumekopa zaidi ya trilioni 40 na bilioni 500 kutoka kwa mabeberu

Kutumikia watanzania ndio ya kazi ya raisi.

Katiba aisemi kuelekea uchaguzi raisi kama anagombea tena ajivue mamlaka yake na wala asitekeleze majukumu yake.

Unasikiliza longo longo za Lissu sana.
Hata mimi bwana shamba natumikia wananchi, sio rais peke yake.
 
Hapa Lisu katoa Boko!

Hatujakopa fedha zote hizo!

Aliyempa data hizi Lissu kamlisha kasa, inabidi kitengo cha takwimu na data cha Chadema kifanye homework yake vizuri au msoma takwimu mwenyewe awe makini kwenye kusoma data
Chadema wamejaa wanasheria wenye akili za namba hawezi kujiunga na waharakati. October 30 Magu ushindi 95%
 
Nakumbuka ndio hawahawa walisema Ndege za ATCL tusinunue cash tukope au nimekosea😂😂😂😂😂?
 
Dah....Tanzania Kuna watu Aina tatu (3)...Wanasiasa...wanajeshi...na wananchi
 
Mwananchi wa kawaida ukimwambia umekopa sijui tunadaiwa hakuelewi
Mwambie utamsaidia vipi kumsafirishia mazao yake au kumpa bei nzuri
jpm si kashaleta ndege akayasafirishe sisi tunataka jua huu mkopo mbona mkubwa kwa kipindi kifupi (sijajua ntakuwa mwana nchi wa kawaida ama wa ajabu)
 
Hana hoja! Watanzani wana mchora tu! Na atapata majibu yao October 2020.
===
Nyakati hizi ni za nchi mbalimbali kuhakikisha kuwa zinajidhatiti kiuchumi na kiusalama. Je. Lissu, anasema nini juu ya hili kimikakati na kadhalika!? Hana hoja juu ya mambo haya mazito.
Kwamba hatudaiwi hiyo Hela?
 
Hana hoja! Watanzani wana mchora tu! Na atapata majibu yao October 2020.
===
Nyakati hizi ni za nchi mbalimbali kuhakikisha kuwa zinajidhatiti kiuchumi na kiusalama. Je. Lissu, anasema nini juu ya hili kimikakati na kadhalika!? Hana hoja juu ya mambo haya mazito.
Haja anza kampeni bado,tulia dawa sindano iwaingie.
Hayo majibu utayapata wakati wa kampeni
 
AAAH FEDHA ZA NDANI,THUS WANAZUIA MEDIA NA KUWEKEZA KWENYE PROPAGANDA WANADHANI WATZ NI WALE WA ENZI ZA ZIDUMU ZA MWENYEKITI ALIYEWAKATAZA WATZ WASIMILIKI TV ILA YEYE PEKEE,WAMEDHITI MEDIA LKN NEWS ZOTE ZIPO ONLINE
 
Tunaanza kuelewa ukweli wa mambo na yajayo yanafurahisha zaidi, watu watajua ukweli wa mambo ambayo sasa yamefichwa kwa siri kubwa lakini yote yatawekwa wazi.
Yanawekwa wazi na nani? Huyo anaetoa hizo taarifa unamuamini vp?
 
Mwananchi wa kawaida ukimwambia umekopa sijui tunadaiwa hakuelewi
Mwambie utamsaidia vipi kumsafirishia mazao yake au kumpa bei nzuri
CCM msitumie ujinga wa watanzania kuficha maovu. Unadhani hilo deni analipa nani?
 
Ukigawa vizuri deni kwa makini mpaka mpaka na mbwa zetu zinadaiwa deni.
 
Akiongea na wananchi(probably mkoani Dodoma), Lissu amedai tunapombiwa tumekombolewa, tuelewe mpaka kufikia April ya mwaka huu, serikali ilikuwa imekopa jumla ya shilingi trilioni 40 na bilioni 500 kutoka kwa mabeberu.

Hii figure ni kubwa mno na huenda Lissu kakosea/kapewa taarifa siyo sahihi.

Namdi Azikiwe. (@NamdiAzikiwe) on Twitter
Screenshot_20200809-194429.jpg
 
Hana hoja! Watanzani wana mchora tu! Na atapata majibu yao October 2020.
===
Nyakati hizi ni za nchi mbalimbali kuhakikisha kuwa zinajidhatiti kiuchumi na kiusalama. Je. Lissu, anasema nini juu ya hili kimikakati na kadhalika!? Hana hoja juu ya mambo haya mazito.
Nchi alizokopa jiwe, zinataka raisi atakaye rejesha madeni, jiwe Hana akili ya kupata mapato nje ya Kodi,

Wenye fedha yao hawawezi kukubali jiwe arudi madarakani, atawatia hasara kwa kutokurejesha mikopo.

Jiwe uchaguzi huu hatoboi
 
Back
Top Bottom