Tundu Lissu: Mimi siyo maarufu kuliko CHADEMA. Lile ni Jukwaa tunategemeana

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,915
141,873
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA amesema yeye siyo maarufu kuliko Taasisi na kwamba wanategemeana

Taasisi ni Jukwaa linalokufanya uonekane hivyo huwezi kuwa maarufu kuliko kwa sababu mnategemeana, amesema

Hata Mzee Lowassa alipoyapoteza majukwaa ya CCM na CHADEMA ndio akapotea kabisa

Chanzo: Global tv
 
Makamu Mwenyekiti wa Chadema amesema yeye siyo maarufu kuliko Taasisi na kwamba wanategemeana

Taasisi ni Jukwaa linalokufanya uonekane hivyo huwezi kuwa maarufu kuliko kwa sababu mnategemeana, amesema

Hata Mzee Lowassa alipoyapoteza majukwaa ya CCM na Chadema Ndio akapotea kabisa

Source: Global tv
Lisu atajifananisha na lowassa aache ujinga

USSR
 
Back
Top Bottom