king Davidson
JF-Expert Member
- Feb 9, 2017
- 252
- 1,063
Tundu lissu UPDATES chaso mkoa wa dodoma
sitetei wazungu mie
hata leo nikiomba visa ya kwenda Canada siwezi kuruhusiwa kwasababu wazungu hawanipendi,,,, wakati napigania maswala ya sheria za mazingira...
This is rubish,,,
lissu: ili unishinde kisheria ni lazima ujipange...
lissu; mimi ni mjuaji kweli kweli na hakuna wa kunishinda mpaka ajipange kweli kweli,,,
lissu: nataka vijana wa CHASO muwe kama mimi
lissu: hakuna kitu kizuri kuwa kama mjuaji,,,, fikiria tu opposite ya ujuaji ni nini...
lissu: jifunzeni kila kitu,,, mimi nasoma kila kitu,,, mie sio geologist,, mimi ni mwanasheria ,, nilisoma geografia, historia na uchumi kidogo
lissu: naweza kuchambua kitu chochote kutokana na kusoma kwangu vitu vingi,,, nawahasa sana vijana
lissu: kuna mtu anaweza kuniita nina blah blah...
lissu: mimi ni mwanasiasa nisie na blah blah,,, nataka kujua kila kitu,,, nasoma muda wote,,, nikiwa safarin nisipokuwa na kitabu basi nakuwa na gazet,, kila wakati nasoma...
lissu: jifunzeni kupambana na pambaneni kujifunza ,,,,
lissu: mkijifunza ujuaji mtakuwa raia bora na wazalendo wa kweli,,, na tafsri yangu ya uzalendo sio ile la akina magufuli bali ni obedience to principles and not to the government or president.....
lissu,, uzalendo wangu ni utiifu kwa nchi na sio serikali,, nchi na serikali ni vitu viwili tofauti,,, natii nchi na sio serikali kwani serikali ni hizi,,, za akina mkapa, magufuli na kikwete,,,,
Lissu, sikuwa mtiifu kwa mkapa, sikuwa mtiifu kwa kikwete,, na sio mtiifu kwa magufuli bali ni mtiifu kwa nchi na principals,,,,
lissu: nitasema ukweli hata kama nikibaki peke yangu
Lissu: Asanteni kwa kunisikiliza,,,,