Tundu Lissu: Leo wanashangilia watu wamebanwa ila kesho hao hao hawana ajira wanataka watetewe

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,868
1. Wapo wanaoshangilia pesa imepungua kwa waume na wanarudi mapema nyumbani , ikimaanisha wanafika nyumbani mapema.

## ila Baadaya muda mfupi tu hao hao wanalalamika mzunguko wa pesa mdogo hakuna pesa ya kusomesha watoto wanaoingia kidato cha tano, madawa bei ghali wamama wanakufa hospitalini.

2 .Haijakaa sawa unasikia mwingine anashangilia makampuni yadaiwa kodi kuliko faida yanayopata, kwa sababu ya uzuri au mwonekano wa ofisi zao, na yakishindwa kulipa kodi Makampuni hayo, wanajaribu kupunguza wafanyakazi kujaribu kuboresha huduma na kubana matumizi,

## Yule aliyekuwa anashangilia anapunguzwa kazi na hapo analalamika ajira ngumu, kila akizunguka kampuni zingine hivyo hivyo zinapunguza wafanyakazi huku zingine zikifungwa.

3 . pia mtu mwingine anashangilia wapinzani wamebanwa bungeni ndani na nje akisubiriwa kwa hamu akamatwe na vyombo vya Dola, ikiwepo vyombo vya habari kutishiwa kufungiwa wakitoa taarifa za mikutano yao,

## baadaye kidogo mtu ananyimwa mafao anakimbilia kwa wapinzani akiomba atetewe bungeni na hapo hapo akidai uhuru wa habari na kuwe na demokrasia kwa wapinzani.

**** Hizo ni baadhi ya changamoto za sasa katika Afrika. Ila tukumbuke upepo wa mageuzi hauzuiwi kwa vitisho.***
 
Mageuzi hayaletwi na mtu kama Tundu Lisu, ili ufanye Mageuzi ni lzm watu wakufwate, sasa atakayemfwata Tundu Lisu?
 
Mambo yote ni true lakn Uvccm wanajipanga kuja na mapovu yao. Hv hawa ni reptilia, amphibia au mamalia? Huwa siwaelew kabisa.
 
Wewe si ndo ulikuwa unapiganua watu wabanwe, cju hizi unataka wasibanwe tena?
Unaweza ukaleta ushahidi wa hiyo kauli yako kuwa alikuwa anataka watu wabanwe?

Sana sana alikuwa anataka watu au wafanyabiashara wafuate sheria na walipe kodi kwa utaratibu wa sheria za nchi.

Usikurupuke jombaa
 
1. Wapo wanaoshangilia pesa imepungua kwa waume na wanarudi mapema nyumbani , ikimaanisha wanafika nyumbani mapema.

## ila Baadaya muda mfupi tu hao hao wanalalamika mzunguko wa pesa mdogo hakuna pesa ya kusomesha watoto wanaoingia kidato cha tano, madawa bei ghali wamama wanakufa hospitalini.

2 .Haijakaa sawa unasikia mwingine anashangilia makampuni yadaiwa kodi kuliko faida yanayopata, kwa sababu ya uzuri au mwonekano wa ofisi zao, na yakishindwa kulipa kodi Makampuni hayo, wanajaribu kupunguza wafanyakazi kujaribu kuboresha huduma na kubana matumizi,

## Yule aliyekuwa anashangilia anapunguzwa kazi na hapo analalamika ajira ngumu, kila akizunguka kampuni zingine hivyo hivyo zinapunguza wafanyakazi huku zingine zikifungwa.

3 . pia mtu mwingine anashangilia wapinzani wamebanwa bungeni ndani na nje akisubiriwa kwa hamu akamatwe na vyombo vya Dola, ikiwepo vyombo vya habari kutishiwa kufungiwa wakitoa taarifa za mikutano yao,

## baadaye kidogo mtu ananyimwa mafao anakimbilia kwa wapinzani akiomba atetewe bungeni na hapo hapo akidai uhuru wa habari na kuwe na demokrasia kwa wapinzani.

**** Hizo ni baadhi ya changamoto za sasa katika Afrika. Ila tukumbuke upepo wa mageuzi hauzuiwi kwa vitisho.***

Lissu hana kitu cha kugeuza, kama alitaka kukuweka Lowassa ikulu, hana kipya
 
yani cdm kosa ambalo hamtalisahau katika ulingo wa siasa ni kumkaribisha LOWASSA
 
Binadamu ni wanafiki na wabinafsi kwa asili.Sio ajabu japo inakera sana
 
yani cdm kosa ambalo hamtalisahau katika ulingo wa siasa ni kumkaribisha LOWASSA

fanya sensa ya mafisadi kwenye vyama ndio urudi hapa useme umewakuta wangapi kwenye kila chama. Mwenyekiti wako mwenyewe kasema kwenu kuna majizi. Halafu mwenye jukumu la kukamata mafisadi ni nani? mboona hamakamati huyo Lowasa basim kwa kuwa nai fisadi. Mkamataji ndi analalamika kama sisi huku. Huu ni ujinga usiovumilika.
 
Mageuzi hayaletwi na kilaza kama Tundu Lisu, ili ufanye Mageuzi ni lzm watu wakufwate, sasa atakayemfwata Tundu Lisu?
Watake radhi waliomchagua Tundu Lisu na kuwakataa wagombea wote jimboni kwake, alishinda pamoja na kwamba kura zake zilihesabiwa na tume ya uchaguzi ya Taifa hiihii iliyomtangaza magufuli kwamba ndiyo mshindi wa kura za Urais.
 
Na wapo wanaolalamika nchi inaibiwa kweli kweli, mwizi akishikwa wanasema mwachieni, baba yake ndio anayetufadhiri. Vile vile sisi wenyewe tumelala mlango wazi, mwizi ana kosa gani?
 
1. Wapo wanaoshangilia pesa imepungua kwa waume na wanarudi mapema nyumbani , ikimaanisha wanafika nyumbani mapema.

## ila Baadaya muda mfupi tu hao hao wanalalamika mzunguko wa pesa mdogo hakuna pesa ya kusomesha watoto wanaoingia kidato cha tano, madawa bei ghali wamama wanakufa hospitalini.

2 .Haijakaa sawa unasikia mwingine anashangilia makampuni yadaiwa kodi kuliko faida yanayopata, kwa sababu ya uzuri au mwonekano wa ofisi zao, na yakishindwa kulipa kodi Makampuni hayo, wanajaribu kupunguza wafanyakazi kujaribu kuboresha huduma na kubana matumizi,

## Yule aliyekuwa anashangilia anapunguzwa kazi na hapo analalamika ajira ngumu, kila akizunguka kampuni zingine hivyo hivyo zinapunguza wafanyakazi huku zingine zikifungwa.

3 . pia mtu mwingine anashangilia wapinzani wamebanwa bungeni ndani na nje akisubiriwa kwa hamu akamatwe na vyombo vya Dola, ikiwepo vyombo vya habari kutishiwa kufungiwa wakitoa taarifa za mikutano yao,

## baadaye kidogo mtu ananyimwa mafao anakimbilia kwa wapinzani akiomba atetewe bungeni na hapo hapo akidai uhuru wa habari na kuwe na demokrasia kwa wapinzani.

**** Hizo ni baadhi ya changamoto za sasa katika Afrika. Ila tukumbuke upepo wa mageuzi hauzuiwi kwa vitisho.***
Time will tell
 
Yule aliyekuwa anashangilia anapunguzwa kazi na hapo analalamika ajira ngumu, kila akizunguka kampuni zingine hivyo hivyo zinapunguza wafanyakazi huku zingine zikifungwa.
 
Back
Top Bottom