Tundu Lissu: Legacy ya hayati Magufuli imeanza kusambaratika,uchunguzi usiishie TPA na ATCL

Lissu anadhani Magufuli alikuwa malaika? hebu atuambie ni Rais yupi ambaye wakati wake akiongoza hapakuwa na kasoro kwenye utendaji wake.

Naona ameshasahau Katiba Mpya, wenzie wamkumbushe, Magufuli is no more.

Madudu yalikuwepo toka enzi za Mkapa, akaja Kikwete, na Magufuli akafanya kwa kiasi chake mpaka pale alipoishia, vyema atafute ajenda nyingine kabla 2025 haijakaribia.
Waweza nitajia maovu ya Jiwe ndugu Mataga/Mnyonge
 
Kupitia ukurasa wake wa Twita ndugu Tundu Lissu amedai kuwa sasa kuwa kile watanzania wengi walidhani watarithi mambo mazuri yaliyoachwa na JPM ni kama hakuna. Maana mengi yana uozo na yameanza kusambaratika. Kama uchunguzi ukifanyika mengi sana yataibuka.

Huyu mwehu tulimkataa kwenye sanduku la kura, hapaswi kuwa mshauri kwa Serikali tuliyoichagua kwa kura.
 
Hivi huyu shetani Tundulisu bado yupo tu...nilifikiri COVID 19 ilishamchukua.... shoga mkubwa wewe
Ulidhani Lissu ni kama Jiwe kwenye ishu ya Covid? Yeye anaamini katika science na siyo ushirikina kama wew na malaika wako
 
Lisu hana shida ya mfumo wa umeme kwenye moyo

Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
Bado anaishi na hasira dhidi ya Magufuli, kumbuka huyo mtu sasa hivi yupo kwenye nyumba yake ya milele.

Baada ya Magufuli kutangulia hasira sasa zinaamia kwenye legacy zake.

Irritability ni main cause of worsening mental health conditions. Huyo mtu anahitaji intervention; mental health sio mpaka mtu aokote makopo ndio mjue hayupo sawa.

Lissu raisi 2020 is another telling sign.
 
He will not rest in peace even in his grave.

Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
I'll be forgiven for saying that there isn't much regarding Jiwe that merits serious intellectual discussion. His shortfalls were unashamedly displayed to the public (e.g. his threats to the DEDs regarding election results, journalists and "traitors"). He was largely a mistake; a sad consequence of this nation's failure to stand up to tyranny and uphold the virtues of honesty, objectivity and accountability in our leadership.

No need to waste our time on such a past. If one wants to add value is by pointing the way forward past the nasty experience of the last 5 years.
 
  • Thanks
Reactions: Hey
Hivi huyu shetani Tundulisu bado yupo tu...nilifikiri COVID 19 ilishamchukua.... shoga mkubwa wewe
Risasi hazikumchukua, ulitaka na Covid imchukue?? na hata shetani anawaza kumchukua hivyo hivyo, nafikiri ni Mungu pekee atamchukua.

Uwe mtulivu tu jadili hoja.
 
Lissu anadhani Magufuli alikuwa malaika? hebu atuambie ni Rais yupi ambaye wakati wake akiongoza hapakuwa na kasoro kwenye utendaji wake.

Naona ameshasahau Katiba Mpya, wenzie wamkumbushe, Magufuli is no more.

Madudu yalikuwepo toka enzi za Mkapa, akaja Kikwete, na Magufuli akafanya kwa kiasi chake mpaka pale alipoishia, vyema atafute ajenda nyingine kabla 2025 haijakaribia.
Huyu Magu si ndio aliekuwa analalamika kwamba watangulizi wake wamelea sana wizi,kikowapi sasa?Yani hili genge la wasukuma limekwiba pesa sana,
Wakati Kakonko imebainika bandarini kunaupotevu wa 4.6bln ktk uchunguzi uliofanywa na PM,walichofanya wakawatoa kafara wasaidizi wake ilihali mkurugenzi bw Kakonko akakingiwa kifua na Meko,leo Meko marehemu mambo yanageuka.
 
Hivi leo mataga wamo humu JF ? .
Screenshot_20210328-233856.png
 
Lissu anadhani Magufuli alikuwa malaika? hebu atuambie ni Rais yupi ambaye wakati wake akiongoza hapakuwa na kasoro kwenye utendaji wake.

Naona ameshasahau Katiba Mpya, wenzie wamkumbushe, Magufuli is no more.

Madudu yalikuwepo toka enzi za Mkapa, akaja Kikwete, na Magufuli akafanya kwa kiasi chake mpaka pale alipoishia, vyema atafute ajenda nyingine kabla 2025 haijakaribia.
Sio malaika lakini alikuwa Mwongo sana.
 
Hivi huyu shetani Tundulisu bado yupo tu...nilifikiri COVID 19 ilishamchukua.... shoga mkubwa wewe
TL ataendelea kudunda waovu wote mtapukutika yeye atabaki. Serikali ya mtukufu leo hata kuzimu hajafika tayari warithi wake wameonesha uchafu wake aliokuwa akificha miaka yote
 
Lissu anadhani Magufuli alikuwa malaika? hebu atuambie ni Rais yupi ambaye wakati wake akiongoza hapakuwa na kasoro kwenye utendaji wake.

Naona ameshasahau Katiba Mpya, wenzie wamkumbushe, Magufuli is no more.

Madudu yalikuwepo toka enzi za Mkapa, akaja Kikwete, na Magufuli akafanya kwa kiasi chake mpaka pale alipoishia, vyema atafute ajenda nyingine kabla 2025 haijakaribia.
Lissu anazidi kujipa stress kwa kumshambulia marehemu
Huu muda angeutumia kujaribu kuwaomba msamaha watanzania badala yake anazidi kujishusha
 
Lissu anazidi kujipa stress kwa kumshambulia marehemu
Huu muda angeutumia kujaribu kuwaomba msamaha watanzania badala yake anazidi kujishusha
Watanzania au wanaCCM, sisi watanzania tunampenda sana na tunamuombea maisha marefu.

Mwenyekiti wako ametuomba msamaha,inatosha.
 
Katika uhai wake JPM hakuna mahali alibariki ufisadi au ubadhirifu wa mali ya umma, mara zote alikemea na kuchukua hatua mara moja ikiwa ni pamoja na kutumbua, jambo ambalo analiendeleza Mhe. Rais wa sasa Samia,

Mhe. Samia anafanyia kazi Ripoti ya CAG kitu ambacho naamini hata ingekuwa Hayati JPM yu hai angefanya vivo hivyo.

Tusitake kuleta "lugha chonganishi" kati ya Pro JPM na SSH. naamini hata SSH ni pro JPM ila hawawezi kulingana kwenye "approach".

hongera mhe. Rais SSH kwa hatua ulizo anza kuzichukua dhidi ya ubadhirifu.
Sisi watanzania tuko pamoja nawe daima.
 
Hio ripoti ilikua katikat ratiba ya kumkabidhi Mafuguli, hayo yote angeambiwa, haijaandikwa kwajili ya Mama Samia
Magufuli kapewa ripoti ngapi kuhusu DG wa TPA na kafanya nini muda wote huo na kwa nini hajamchukulia hatua mpaka Magufuli anafariki?
 
Lissu anadhani Magufuli alikuwa malaika? hebu atuambie ni Rais yupi ambaye wakati wake akiongoza hapakuwa na kasoro kwenye utendaji wake.

Naona ameshasahau Katiba Mpya, wenzie wamkumbushe, Magufuli is no more.

Madudu yalikuwepo toka enzi za Mkapa, akaja Kikwete, na Magufuli akafanya kwa kiasi chake mpaka pale alipoishia, vyema atafute ajenda nyingine kabla 2025 haijakaribia.
Tafadhali sana, usilinganishe tawala za kiungwana zilizopita na huu uozo uliopita.
 
Hebu jisomeni muone kama mtajielewa! naona mmoja anakubali mwingine anakataa, sasa nimuamini yupi kati yenu?
Mkuu, kwani mimi nilikwambia nina mshiriki hapa JF?

Na kwa nini unataka kuamini wakati tunaweza kujua?
 
Madudu ya akina Mkapa yalikuwa yanawekwa wazi, tofauti na tulivyoamishwana miaka hii mitano.
Na enzi za JK ndiyo usiseme mkuu, Wabunge walikuwa wanaongea mpaka wanatokwa na damu puani, lakini enzi za JPM mmh! Ukikosoa serikali tu defenda inasogezwa pembeni kesi za uhaini, uchochezi, uhujumu uchumi, mpaka unasalimu AMRI.
 
Back
Top Bottom