Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,086
- 6,568
- Thread starter
- #221
Calm down tindo, kijana hajielewi.Pitia post yangu uliyoniquote kama nimemtaja Lisu popote, ni aidha umepanick au unajishuku. Kuhusu Mbowe kuendelea kuwa mwenyekiti zaidi ya miaka 15, suala sio kuwa matured maana alikuwa hagombei na Lisu.
Hilo la kwamba Lisu ni mwanaharakati ni tafsiri ya huko ccm, na hii tulilisikia hata Slaa alipokuwa mwiba kwa ccm kuwa ni mwanaharakati. Alipotoka cdm akawa anamwagiwa sifa kuwa alikuwa mpinzani wa kweli! Linapokuja suala la busara sioni kama ni tatizo, maana kama Magufuli alikuwa hana busara na Kawa rais, sijui utaniambia nini. Hakuna anayemfikia Mbowe? Au ni kwakuwa huwa anawakubalia ccm porojo zao kirahisi? Nasema hivi, unafiki huwa una mwisho wake. Ww tapika propaganda zako mfu za ccm lakini nimekufahamu vizuri, hutaki kunywa sumu ufe fullstop.