Tundu Lissu Kwenye Medani Za Siasa

Joyum

Senior Member
Oct 30, 2007
153
0
Leo saa kumi na mbili jioni saa za Afrika Mashariki, Tundu Lissu atakuwa hewani katika Star TV. Hebu tujaribu kumsikiliza huyu mwanamapinduzi machachari
 

suleimani

Member
Dec 9, 2006
43
0
Haya na tumsikilize toto tundu. To me he is just a comical clown. Ana uana mapinduzi gani zaidi ya fujo za kitoto tu.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom