Tundu Lissu kuwaponza Lowassa na Sumaye kwenye sakata la madini

Hakuna shida kama ni miongini mwa watuhumiwa watashitakiwa pia.Ila kumbuka na mabosi wao wastaafu watapatikana pia.
 
  • Thanks
Reactions: MTK
Sasa kuna shida gani hapo kama watahojiwa wahojiwe tuu. CCM mnahangaika sana na akina lissu mnaacha mambo ya msingi kufuatilia. Leteni Noah zetu ili heshima ilejee mahali pake. Kama Lowasa na Sumaye ni wezi pasi na shaka itabidi wawajibike kivyao. CHADEMA ni kubwa kuliko wao na wameikuta na wataiacha!
 
Kivipi mkuu?...wale kwa sasa ni kitu kimoja...hizo bla bla unazipiga huku kwa magu tu, lowassa alishakuwa msafi kwa Lissu siku nyingii.!
 
Kivipi mkuu?...wale kwa sasa ni kitu kimoja...hizo bla bla unazipiga huku kwa magu tu, lowassa alishakuwa msafi kwa Lissu siku nyingii.!
Awe msafi kwa Lissu au vinginevyo, kama wanahusika sheria ifuate mkondo wake. Nina amini wana uwezo wa kujitetea. Jukumu liko kwa serikali kuchukua hatua stahiki. Na wao watasema yale wanayo yajua.
 
hapa hakuna usisiem wala uchadema kama walihusika wanapaswa kukinywea kikombe cha mvinyo ya ghadhabu ya bwana Magufuli.
 
Huko ni kuwa na mawazo ya kiccm kwamba kwa vile hawa ni wanachama wa "chama chetu" basi wasistakiwe.
Ujinga huo haupo, kwa Chadema. Hata mwenyekiti mwenyewe kama anahusika sietututaka apelekwe mahakamani ili sheria ichukue mkondo wake.
Mbona tunapiga kelele hapa kila siku kuwa Lowassa kama upo ushahidi kuwa amekwiba apelekwe mahakamani lakini ni serikali hiyo hiyo inajificha uvunguni na kukaa kimya. Msilinganishe kabisa tabia za ccm na Chadema, ccm kuna laana!
 
eti ccm wanaionea huruma chadema
 
Kama ni hivyo mbona Lissu hajaenda bungeni kusema Lowassa na Sumaye wakamatwe.
Yaani hata mawaziri waliotajwa wakihamia CHADEMA Lissu atawatea. Lissu si mzalendo ni mchadema.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom