Superbug
JF-Expert Member
- Jan 31, 2018
- 12,417
- 30,926
Wata compromise nae ili kufunika kombeKitu kinagonga chupi huko kwa wauwaji.
Wata compromise nae ili kufunika kombeKitu kinagonga chupi huko kwa wauwaji.
Huku Mdude kule Lissu karikati Mbowe hahaa patamu hapo lazima kieleweke hakuna kulala.Wata compromise nae ili kufunika kombe
Msaliti kwa lipi? Wewe ungechapwa 38 bullets usingetaka dunia ijueHana lolote masaliti mkubwa
Anaeharibu nchi twamjua hata mtt wa darasa la 4 ukimuuliza atakujibu!abaki hukohuko asije kutuharibia nchi yetu mropokaji huyo hana lolote maandalizi ya mapokezi amekuwa rais huyo
Niko na wewe katika hili, wanaweza kumdhuruMkuu nimejikuta nawaza kama atakuwa salama kwa Mara nyingine comment yangu nimeandika kwa masikitiko mno.
Kwanini asiwe salama au umeandaa mpango mbaya juu yake tuambie
Hii ndiyo maana halisi ya KUROPOKA, yaani kupayuka bila kufikiri.Huyu akirudi hapa NCHINI atatangaza kugombea URAIS na hii ni baada ya kuwa tayari AMEISHA FANYA MAZUNGUMZO NA WATU/MATAIFA BAADHI YENYE MASLAHI NA NCHI YETU....hivyo huyu jamaa anakuja KUWA MPIGANIA MASLAHI YA MATAIFA YA NJE NA SI YA WATANZANIA.....na mkubali mkatae LISSU ni chambo kwa ajili MABEBERU....
Huo ni uzwazwa, tupo tuliochoshwa na usanii wa awamu ya 5,tupo na Lissu na hatuna shaka na uzalendo wakeHuyu akirudi hapa NCHINI atatangaza kugombea URAIS na hii ni baada ya kuwa tayari AMEISHA FANYA MAZUNGUMZO NA WATU/MATAIFA BAADHI YENYE MASLAHI NA NCHI YETU....hivyo huyu jamaa anakuja KUWA MPIGANIA MASLAHI YA MATAIFA YA NJE NA SI YA WATANZANIA.....na mkubali mkatae LISSU ni chambo kwa ajili MABEBERU....
Usimsahau Mh. Zito na Maalim, hawa nao ni vigingi hasa kwa utawala wa kidikteta.Huku Mdude kule Lissu karikati Mbowe hahaa patamu hapo lazima kieleweke hakuna kulala.
Acha unafiki kwani yeye sio mtanzania?.abaki hukohuko asije kutuharibia nchi yetu mropokaji huyo hana lolote maandalizi ya mapokezi amekuwa rais huyo
nyie akili yenu bado inahamu ya kutawaliwa yaani kila kitu watu wa nje huyo lisssu wanamtega tu usifikiri wanampenda wakija hao tayari tunaanza kuwa watumwa tena
Hakuna mtetezi wa kweli wa nchi hii kwa sasa kama LissuMkuu nani kwakwambia kwa upendo tuliokuwa nao kwa Mh. Lissu tunaitaji dawa kama Kuna mwengine azidi kutuloga ili tumpende zaidi
Tatizo la mtu huyu ni kuamini kwamba ana ubora wa juu zaidi yetu. Anaamini tunamsubili sana arudi. Ukiona mtu anaeleza ujio wake kwa miezi hiyo, anaamini ujio huo ni muhimu sana. Yeye atueleze juu ya afya yake. Kama imeimalika, basi arudi awasaidie wana Ikungi badala ya kuwakoga kwa mambo ya uhuru sijii wa kitu gani. Hakuchaguliwa kuwafundisha watu mambo ya uhuru wa Tanganyika.
Huwa nakuona GT kumbe hamnazoMara hii ameshakuwa shujaa?
Amepigana vita ipi hapa nchini?
Hatuhitaji rais kilema wa akili
haya ccm si chambo cha mabeberu wamefanya nini zaidi ya miaka 55 wametawala na nchi imesheheni utajiri hatuoni lolote la maana zaidi ya njaaHuyu akirudi hapa NCHINI atatangaza kugombea URAIS na hii ni baada ya kuwa tayari AMEISHA FANYA MAZUNGUMZO NA WATU/MATAIFA BAADHI YENYE MASLAHI NA NCHI YETU....hivyo huyu jamaa anakuja KUWA MPIGANIA MASLAHI YA MATAIFA YA NJE NA SI YA WATANZANIA.....na mkubali mkatae LISSU ni chambo kwa ajili MABEBERU....
Tundu lissu ni shujaa kwa jambo gani. Kujeruhiwa kwa risasi haukumpa ushujaa wala sifa za kuwa Rais. Tanzania isifanywe nchi ya majaribio.
Kama hutaki kumsikia tundu lissu ziba masikio mkuu.Tatizo la mtu huyu ni kuamini kwamba ana ubora wa juu zaidi yetu. Anaamini tunamsubili sana arudi. Ukiona mtu anaeleza ujio wake kwa miezi hiyo, anaamini ujio huo ni muhimu sana. Yeye atueleze juu ya afya yake. Kama imeimalika, basi arudi awasaidie wana Ikungi badala ya kuwakoga kwa mambo ya uhuru sijii wa kitu gani. Hakuchaguliwa kuwafundisha watu mambo ya uhuru wa Tanganyika.