Hawachi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 12,012
- 54,174
Aisee sio gamba mimiWe gamba unataka umpige risasi tena?
Jinga kabisa na lazima aje
Aisee sio gamba mimiWe gamba unataka umpige risasi tena?
Jinga kabisa na lazima aje
MHUNI tuu huyu jamaaMara hii ameshakuwa shujaa?
Amepigana vita ipi hapa nchini?
sidhani kama kuna anayeweza kujua tarehe ya kurudi!Shujaa Mhe. Tundu Lissu anatarajiwa kutua nchini siku ya kumbukumbu ya uhuru wa Tanganyika tarehe 09.12 na kupokelewa na viongozi, wanachama na wafuasi wa vyama 9 vya upinzani ambavyo vimedhibitisha kushiriki kwenye mapokezi hayo. Baada ya kupokewa Mhe. Tundu Lissu anafikia kwenye moja ya hoteli mashuhuri jijini Dar-es-salaam na kuzungumza na Watanzania.
Moja ya ajenda kuu ni mweleko wa Tanzania kisiasa, kiuchumi na kijamii lakini vilevile atajikita katika mwelekeo ya nchi kwenye diplomasia ya kimataifa. Baada ya tarehe 09.12.2019 kunatarajiwa na kuwa na misa ya shukrani ambayo inatarajiwa kufanyika jijini Dar-es-salaam ikiongozwa na viongozi wa dini kutoka madhehebu mbalimbali. Katika hatua za sasa maandalizi yanaendelea kuhakikisha kunakuwepo na usalama wa kutosha nchini kwa uangalizi wa vyombo vya kimataifa.
sidhani kama kuna anayeweza kujua tarehe ya kurudi!
MHUNI tuu huyu jamaa
Acha fikra za woga.Tundu Lissu you are still not needed, hawa watu sio wazuri, juzi tu wamemteka mdude CHADEMA, nakushauri uje baada ya miaka sita ijayo.
Akigombea usimchague.Huyu akirudi hapa NCHINI atatangaza kugombea URAIS na hii ni baada ya kuwa tayari AMEISHA FANYA MAZUNGUMZO NA WATU/MATAIFA BAADHI YENYE MASLAHI NA NCHI YETU....hivyo huyu jamaa anakuja KUWA MPIGANIA MASLAHI YA MATAIFA YA NJE NA SI YA WATANZANIA.....na mkubali mkatae LISSU ni chambo kwa ajili MABEBERU....
Ili nafaka ya ngao izae vizuri,inatakiwa kwanza ife.Sawa mkuu Mungu aweke ulinzi wake kwa Mara nyingine
Wewe wasemaHuyu akirudi hapa NCHINI atatangaza kugombea URAIS na hii ni baada ya kuwa tayari AMEISHA FANYA MAZUNGUMZO NA WATU/MATAIFA BAADHI YENYE MASLAHI NA NCHI YETU....hivyo huyu jamaa anakuja KUWA MPIGANIA MASLAHI YA MATAIFA YA NJE NA SI YA WATANZANIA.....na mkubali mkatae LISSU ni chambo kwa ajili MABEBERU....
Kwakuwa ni nchi yetu,sisi tunamuhitajiabaki hukohuko asije kutuharibia nchi yetu mropokaji huyo hana lolote maandalizi ya mapokezi amekuwa rais huyo
Kitapita lini mkuunyie mtakachokitaka msubiiri kizazi chetu kipite hatutaki kuongozwa na mrpokaji kama huyo hatufai tukiondoka ndiyo mumuchague aje awatese
HIVI WEWE SI UPO LABOUR? UMEKURUPUKA KABLA YA KUDELIVER NDO MAANA UMEKUJA UTAFIKIRI HAPO ULIPO HUNA NGUO AU WEWE KITOYOTA a.k,a Kibaji nini?Huyu akirudi hapa NCHINI atatangaza kugombea URAIS na hii ni baada ya kuwa tayari AMEISHA FANYA MAZUNGUMZO NA WATU/MATAIFA BAADHI YENYE MASLAHI NA NCHI YETU....hivyo huyu jamaa anakuja KUWA MPIGANIA MASLAHI YA MATAIFA YA NJE NA SI YA WATANZANIA.....na mkubali mkatae LISSU ni chambo kwa ajili MABEBERU....
Hawachi sio gamba mwombe radhi nafwatilia sana posts na moment zakeAisee sio gamba mimi