Tetesi: Tundu Lissu kutua nchini Dec 9, 2019

Status
Not open for further replies.
Shujaa Mhe. Tundu Lissu anatarajiwa kutua nchini siku ya kumbukumbu ya uhuru wa Tanganyika tarehe 09.12 na kupokelewa na viongozi, wanachama na wafuasi wa vyama 9 vya upinzani ambavyo vimedhibitisha kushiriki kwenye mapokezi hayo. Baada ya kupokewa Mhe. Tundu Lissu anafikia kwenye moja ya hoteli mashuhuri jijini Dar-es-salaam na kuzungumza na Watanzania.

Moja ya ajenda kuu ni mweleko wa Tanzania kisiasa, kiuchumi na kijamii lakini vilevile atajikita katika mwelekeo ya nchi kwenye diplomasia ya kimataifa. Baada ya tarehe 09.12.2019 kunatarajiwa na kuwa na misa ya shukrani ambayo inatarajiwa kufanyika jijini Dar-es-salaam ikiongozwa na viongozi wa dini kutoka madhehebu mbalimbali. Katika hatua za sasa maandalizi yanaendelea kuhakikisha kunakuwepo na usalama wa kutosha nchini kwa uangalizi wa vyombo vya kimataifa.
sidhani kama kuna anayeweza kujua tarehe ya kurudi!
 
Huyu akirudi hapa NCHINI atatangaza kugombea URAIS na hii ni baada ya kuwa tayari AMEISHA FANYA MAZUNGUMZO NA WATU/MATAIFA BAADHI YENYE MASLAHI NA NCHI YETU....hivyo huyu jamaa anakuja KUWA MPIGANIA MASLAHI YA MATAIFA YA NJE NA SI YA WATANZANIA.....na mkubali mkatae LISSU ni chambo kwa ajili MABEBERU....
Akigombea usimchague.
 
Wewe wasema
 
HIVI WEWE SI UPO LABOUR? UMEKURUPUKA KABLA YA KUDELIVER NDO MAANA UMEKUJA UTAFIKIRI HAPO ULIPO HUNA NGUO AU WEWE KITOYOTA a.k,a Kibaji nini?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom