Tundu Lissu kutinga Mahakama Kuu kushinikiza Maxence afikishwe Mahakamani

KWANI KATI YA Lema na Melo nani anaumhimu zaidi kwa watanzania wote na EAC kwa ujumla?

Jiulize kwa nini BBC waliifanya kuwa habari kuu jana issue ya Melo kuliko ya Lema.

Lissu yuko sahihi ana lengo la kuwapigania watanzania wote siyo Lema ambaye anainfluence ya kisiasa zaidi Arusha TU
 
Kwauongizi wasasa sizani kama shelia itafata mkondo ninahisi kutakuepo uonevu juuyawatu wanaokosoa serikali au kuinyoshea kidole maana kwasasa kilamtu anataka aonekane anafanya kazi namkumbuke ilekauli kwann wanashelia wetu munashindwa ilekauli ilikua namaana wanaokosoa nawapinzani watapata tabu sana
 
Hahah Tundu Lisu anauchungu zaidi na CeO wa JF kuliko Lema? Lema kama kuna somo lolote ulipaswa ujifunze kuhusu haya maisha huu ndo muda wenyewe usipojufunza sasa hivi basi utaendelea kuumiza familia yako kila siku!
[HASHTAG]#freeMelo[/HASHTAG]
 
bora amtetee jf ibaki watu hawana kazi kuuza kofia lumumba hazina wateja Si bora washinde jf kumsema lowasa? siku hizi hata buku 7 kwishaaaa
 
Hahah Tundu Lisu anauchungu zaidi na CeO wa JF kuliko Lema? Lema kama kuna somo lolote ulipaswa ujifunze kuhusu haya maisha huu ndo muda wenyewe usipojufunza sasa hivi basi utaendelea kuumiza familia yako kila siku!
Hakuna bora zaid ya mwingine sio lema sio melo dont make justification
 
Back
Top Bottom