Uchaguzi 2020 Tundu Lissu kutikisa Tabata Segerea, ni katika Mkutano mkubwa wa kampeni za Urais za CHADEMA

Toka 2005 nilipoanza kufuatilia siasa tena nikiwa chadema damu.
Mpaka leo hii ni miaka 20 imepita. Yale waliokua wakilalamikia mwaka ule wa 2005 ndio yaleyale wanayolalamikia 2020.
Hata mtoto mdogo hua anajifunza vitu vilivyowahi kumuumiza huwa na tahadhari navyo.
Sidhani kama walikua hawajui kutakuwepo na rafu kwenye uchaguzi huu, na tahadhari gani wameweza kuchukua zaidi ya kulalamika!
Nawapa pole maana kila uchaguzi wanasema watashinda lakini huu kidogo pole yao. Bado niko na kumbukumbu ya mwaka ule wa 2015.

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Ujue ccm makando kando yao yamekuwa yakibadilika sio ndo yale yale...usilaumu tu
 
Wameanza Jana Baada ya sisi Wana jamii forums kuwakomalia walikuwa wakipiga porojo tu tukawakomalia humunkuwa Hakuna acheni ujinga ndio waneanza kuzitoa

Mbagala walipiga porojo tu
Huwezi kuwa na hoja za kusikilizwa wewe na wana Lumumba wenzako !
 
Uweke updates zenye mtiririko punguza mbwebwe sana ili wapate madini ya maana kutoka kwa Mhe Lisu habari za kusema mara wachambuzi wanasema atashinda kwa asimilia 70 achana nazo lete updates ili wavutike kwenda kwenye mkutano ili wachume madini aliyonayo .Lisu ana madini sana watanzania wanatakiwa kujua
Tutaweka unachokitaka kwa mtiririko lakini kamwe hatutaacha kuweka asilimia za makadirio ya wachambuzi
 
Mikutano mikubwa ya kampeni ya Mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo ( CHADEMA ), ambaye magwiji wa siasa nchini Tanzania wanamkadiria kushinda kiti hicho kwa zaidi 70% inaendelea tena , na leo ikiwa ni zamu ya Jimbo la Tabata Segerea .

View attachment 1552822
Tundu Lissu apewe muda wa kutosha Jukwaani na wasemaji wengine.Tunatoka uwanjani tukiwa bado na kiu
 
Wagombea Ubunge wa Upinzani jimbo la Segerea inabidi wakae chini na kukubaliana.Yupo Mbarala Maharagande (ACT) hiki kichwa ni mtu na nusu.Yupo John Mrema (CDM) huyu ni jeshi kamili.Hawa watu inabidi wakubaliane mmoja ndio agombeee
 
Vipi Lisu ataenda Arusha na Ndege alizonunua magufuli anazoziponda au ataenda kwa miguu?

Tuone atakavyokenua meno akiwa kwenye ndege zilizonunuliwa na awamu ya tano kutimiza ilani ya CCM
Nunueni za ccm mzipake rangi ya kijani, alafu uje hapa kutafuta abiria!
 
CDM wanafanya kampeni kumwaga sera kwa wananchi wengine mtaa wa saba wako kwenye fiesta!!
 
Back
Top Bottom