Tundu Lissu kurudi nchini tarehe 7 Septemba, 2019

Hakuna watu vichwa maji kama chadema
Ni wepesi kudanganyika na kuhadaika
Mbowe kila anapotaka kuwasahaulisha uchaguzi wa mwenyekiti lazima atatoa santuri ya kuwahamisha Tanapa
Mpaka muda huu wapo kimyaa kama sio wao
 
Niambie Tiss wa jf.
Mimi raia wa kawaida sawa na wengine tu.Naona Lisu anawapa kibarua kizito sana Hahahahahah. Kwa akili ya kawaida tu ulitegemea Lisu arudi?Kwa akili ya kawaida tu Lisu bado anaumwa?Hao madaktari wanampa ruhusa ya kuzurula Ulaya na sio kurudi nyumbani, then bavicha mnashangilia tu Hahahahahah. Mungu awasaidie sana.
 
Hakuna watu vichwa maji kama chadema
Ni wepesi kudanganyika na kuhadaika
Mbowe kila anapitaka kuwasahaulisha uchaguzi wa mwenyekiti lazima atatoa santuri ya kuwahamisha Tanapa
Mpaka muda huu wapi kinyaa kama sio wao
Huwa najiuliza Mbowe aliwatoa misukule au nini maana wanachama hawa ni vichwa panzi balaa.
 
Huku wanasoma tu ila hawaandiki kitu..
Makamanda kama wilderbeests tu..hili neno wilderbeests ukiandika kwa kiswahili mods wanatoa ban.
 
Mkuu upande uliopo unakibarua kizito sana na lazima mda mwingi uishi kwa kujitoa ufaham. Yaani mnaburuzwa buruzwa sana.

Ungejua upande niliopo nilivyo na raha wala usingejisumbua. Nina zaidi ya miaka 10 upande huu, na huo upande ulioko sijawahi hata kuutamani wala kuuonea wivu kwa lolote. Sina yoyote anayeniburuza na haitakaa itokee.
 
Vipi utakuwepo airport kumpokea Mh Lisu?
 
Mimi raia wa kawaida sawa na wengine tu.Naona Lisu anawapa kibarua kizito sana Hahahahahah. Kwa akili ya kawaida tu ulitegemea Lisu arudi?Kwa akili ya kawaida tu Lisu bado anaumwa?Hao madaktari wanampa ruhusa ya kuzurula Ulaya na sio kurudi nyumbani, then bavicha mnashangilia tu Hahahahahah. Mungu awasaidie sana.

Huna uraia wowote wa kawaida usitake kuzuga. Kwani Lissu alikuwa anaumwa tumbo la kuharisha mpaka useme tumbo halijafunga? Hao madaktari watamzuia kuzunguka ulaya au popote kwani anaumwa kipindupindu au ebola usema yuko kwenye quarantine haruhusiwi kutoka hospitali? Wagonjwa wangapi wanatoka huko mikoani wanakuja hapa Dar na hawarudi kijijini wakiwa wamejisitiri kwa ndugu, wakirudi hospitali wangalau mara moja au mbili kwa wiki kuendelea na matibabu?

Huyo Lisu arudi asirudi ni shughuli zangu zipi zimekwama mpaka nisikitike hajarudi? Kwangu mimi akirudi itapendeza sana, na hata asiporudi naona baridi tu. Anayeogopa Lisu kurudi ni Magufuli maana hataki mshindani anayekubalika na watu. Kwahiyo Lisu arudi asirudi sina ninachopoteza na atakaporudi nitamuunga mkono kwa dhati.
 
Vipi utakuwepo airport kumpokea Mh Lisu?

Mimi sio mwanachama wa chama chochote cha siasa ila ni shabiki wa kutupwa wa cdm. Hivyo huwa sihudhurii mikutano wala mikusanyiko ya wanasiasa wowote wale na huwa nafanya siasa za kisasa za mtandaoni. Na nina uhakika mimi ni mkosoaji mkubwa wa serikali na hasa Magufuli, na ninatumia mitandao kukosoa, sehemu ambayo ninaamini inaipa serikali mitazamo halisi ya wananchi bila kulishwa maneno au hofu.
 
Back
Top Bottom