Nazgur
JF-Expert Member
- Apr 19, 2020
- 3,730
- 2,850
Hapo hakuna maswali bali ni uvumi ambao tukiambiwa kuwa tunaishi in a shithole country tunalalamika,dereva huyu anajificha kwa nani?kwani dereva ndio missing part ili kukamilisha uchunguzi wao?je polisi walishatueleza kuwa wamefikia uchunguzi hapa na ukamilikaji wake ni lazima dereva apatikane?polisi wameshindwa hata kutambua silaha zilizotumika kwenye crime scene ile!,kupona au kutopona kwa dereva ni mambo yake na doctor wake,dont put your noise usipotakiwa.
Kwa hiyo unataka wakutangazie?
Kama anasubiliwa yeye ili wa prove uchunguzi waliofanya je?
Katika hali ya kawaida hiyo deleva anogopa nini kurudi,
Kwa nini asije ahojiwe kisha arudi huko ubelgiji kama amepapenda ?