Tundu Lissu kurudi bila dereva wake, maisha yake yako shakani

Pengine Deo meck ndiye Dereva wa ile Nissan nyeupe iliyotumika kwenye shambulio kwani ni mtu mwenye roho mbaya sana haitakuwa ajabu kusikia alihusika moja kwa moja kwenye shambulio la Tundu lisu
Hawa ni vibaka tu wanaotumiwa hapa JF kuweka takataka zao.

Hana lolote ajualo huyo. Hata uandishi wake tu unaonyesha alivyo mtupu kichwani.
 
Nina uhakika uzi huu utatolewa na mods mapema saaana. Yaani uzi unaongea mabaya waziwazi kuhusu CHADEMA?? lazima mods wauondoe mapema sana. Tena hata kufikia muda huu wamechelewa aiseee
Hakuna mabaya ya chadema hapa labda kwa mtu mbumbumbu juha ndiye ataona kuna mabaya ya chadema lazima wengi wanaelewa propaganda zote za CCM.
 
Issue ya Lisu ishaanza kunifikirisha sana.

1. Ilikuwaje dereva wake hasipate risasi hata moja mwilini mwake??

2. Risasi zote karibu 36 zimlenge mguuni tu na sio kwenye moyo, Liver, kidney au kichwa??

3. Kwa nini dereva wake yupo nje ya nchi naye hana adui yeyote.??

4. Nani anahusika ?? Wa serikalini au wa upinzani?

5. Licha ya serikali kutolizungumzia kabisa ? Chadema wameshindwa kabisa kumjua muhusika?

6. Kwa nini serikali ipo kimya??

SIASA NI MCHEZO MCHAFU SANA.
Rudia soma hiyo namba mbili halafu jisemee mwenyewe moyoni '' Mungu yupo"
 
Huu ni uongo mkubwa unaotoka kwa middle class anayejiona maisha haya ni mazuri kwake,na hana taarifa au kujali yanayotokea kwa jirani yake,na kwa taarifa yako tukio lile la kushambuliwa kwa Mh.Lissu ni police case,maana wao ndio walitakiwa kuja na taarifa kuhusiana na uchunguzi wao kuhusiana na issue ile,sio suala la CDM,bunge na mtu yeyote kulitolea jawabu jaribio lile,and its so sad kuona sisi watanzania now to go so down hadi kuona maisha ya watanzania wenzetu as nothing,hii ni seed ya kuwa na taifa lenye hasira na visasi na muda utakuja kuongea.

Na yote uliyoyaorodhesha hapo umejionyesha ni jinsi gani una ubahiri wa ukweli na ninategemea familia yako hasa watoto wako huwafundishi kuwa na tabia ya uongo,na mbaya zaidi umekihusisha chama cha CCM na crime issue (ina maana kutumia bendera ya ccm ,unakuwa na free passage!!)na elewa kuwa huwezi kuingia au kutoka nchi bila ya passport,means passport ya dereva ilikuwa stamped na immigrations officer wetu na wa nchi ya pili.

Hadi leo police hawajatoa taarifa za kutuambia je weapons zilizotumika walizikamata,je nini walikusanya pale kwenye crime scene na je cctv walikuta nini;nchi hii ni ya watanzania wote sio wateule wachache na always muda utakuja kuhukumu.
Napenda mtu anaechangia kitu kinachoeleweka
 
Issue ya Lisu ishaanza kunifikirisha sana.

1. Ilikuwaje dereva wake hasipate risasi hata moja mwilini mwake??

2. Risasi zote karibu 36 zimlenge mguuni tu na sio kwenye moyo, Liver, kidney au kichwa??

3. Kwa nini dereva wake yupo nje ya nchi naye hana adui yeyote.??

4. Nani anahusika ?? Wa serikalini au wa upinzani?

5. Licha ya serikali kutolizungumzia kabisa ? Chadema wameshindwa kabisa kumjua muhusika?

6. Kwa nini serikali ipo kimya??

SIASA NI MCHEZO MCHAFU SANA.
Ulipopiga risasi ulimlenga dereva au Lisu?
 
Nani asiyejua njama ilipangwa na kutekelezwa na kina Nani? Lumumba mshatuona wabongo wajinga enh?

Nimeota ndoto mbaya Sana,
Natamani isiwe kweli, maana dah ndoto za kuota kisasi kisasi zinakera Sana,
 
Namba ya simu ya Deo meck hii hapa 0715481628 alikuwa msaidizi wa mbowe akamuibia pesa ofisini kwake akamfukuza kazi ni kijana mdokozi muongo muongo mwenye chuki kubwa na mbowe kuliko hata viongozi wake wa CCM, mpigie simu mkataze aache propaganda za kishamba watanzania wameamka hawataki ujinga
Sijapokea hata simu moja, watumie na vocha kabisa.
 
*TUNDU LISSU KURUDI BILA DEREVA WAKE*

- *Ni yule aliyekuwa naye wakati anashambuliwa Dodoma*

- *Chadema walimtorosha akiwa Dar baada ya kuhitajika na Afande Mroto kwa mahojiano*

- *Chadema walimtorosha kwa gari yao walioifunga bendera ya CCM hadi mpakani Namanga*

- *Haijulikani ni kwa nini Chadema wana hofu kubwa huyo dereva kutoa maelezo juu ya tukio lile*

- *Maisha yake yako shakani, anahitaji msaada*

Taarifa isiyo na shaka niliyoipokea toka makao makuu ya Chadema inaeleza mvutano uliopo kati ya Tundu Lissu na Freeman Mbowe juu ya lini Lissu anarudi na zaidi juu ya yeye kurejea nchini akiwa na dereva wake.

Chadema wamekuwa na wasiwasi mwingi juu ya dereva huyo kuhojiwa na Polisi kuhusu tukio la kikatili la kushambuliwa kwa Tundu Lissu.

Dereva huyo alitoroshwa kwenda Kenya akitokea Dar es Salaam siku ambayo RPC wa Dodoma alipotangaza kumtaka dereva huyo afike kituo cha Polisi Dodoma kwa mahojiano akiwa kama shahidi wa kwanza aliyekuwepo eneo la tukio.

Chadema walitumia gari aina ya Toyota Landcruiser na kuifunga bendera ya CCM ili wasipate usumbufu njiani na kuwafanya askari wafikiri anayepita ni kiongozi. Gari hilo lilimpeleka dereva huyo hadi Namanga, akavuka mpaka na kwenda Nairobi.

Chadema inajulikana kwa kupanga njama ovu dhidi ya watu wanaoonekana tishio kwenye nafasi ya uenyekiti wa Freeman Mbowe. Kati yao wengine walifukuzwa uanachama na wengine walipoteza maisha katika mazingira ya kutatanisha, kama ilivyokuwa kwa Marehemu Chacha Wangwe na Marehemu Philipo Magadula Shelembi.

Hivyo hofu ya viongozi wa Chadema kutotaka dereva huyo afanye mahojiano na Jeshi la Polisi inatia shaka uhusika wa viongozi wa Chadema katika tukio lililompata Tundu Lissu, na ndio maana pamoja na mengine juhudi kubwa zinafanyika ili asiwe mgombea wao wa Urais katika uchaguzi utakaofanyika October 2020.

Hadi sasa hawajafikia muafaka sababu ya hofu hiyo. Na bado wanaendelea na mazungumzo na ndio maana hadi sasa bado ratiba ya ujio wa Lissu bado haijawekwa hadharani.

Ushauri wangu kwa huyo dereva ni awe makini na usalama wake, kwani kuna watu ndani ya Chadema hawataki atoe ushahidi kuhusu tukio lililompata Tundu Lissu, hivyo kama hawataki ahojiwe kwa njia yoyote basi hata usalama wake uko shakani.

Anapaswa alitazame hilo katika jicho la kiintelijensia na ajue wabaya wake wasiotaka ahojiwe na jeshi la Polisi, na wanaweza chukua hatua yoyote kuhakikisha hafiki mikononi mwa Polisi. Nawashauri pia ndugu zake walitazame hili, pia na Jeshi la Polisi waangalie namna ya kumsaidia huyo kijana maana yuko katika mikono isiyo salama kwake. Ova.

Imeandikwa na:-

Deo Meck.

Mitaa ya Ufipa, Dar es Salaam.
Upupu mtupu huo........
 
Kabla sijaendelea kusoma uzi wako nikuombe waambie waanze kumsaka aliyetoa CCTV Camera kwanza siku ya tukio. Zile Camera zitasaidia sana kutambua wahusika... Asante
 
Chadema ni wasanii san
Msigwa alikiri hadharani kuwa huwa wanatunga uongo kuichafua serikali
Haukupita muda sultani mbowe kalewa chakari,akajikwaa akategua enka,chadema wakaitangazia dunia sultani mbowe kashambuliwa na wasiojulikana
Mpaka leo,si Mbowe wala chadema waliotoka hadharani kuthibitisha uongo ule
Hili la dereva wa lissu litaiva pale lissu atakapo temwa rasmi na mzee wa Tengeru
 
*TUNDU LISSU KURUDI BILA DEREVA WAKE*

- *Ni yule aliyekuwa naye wakati anashambuliwa Dodoma*

- *Chadema walimtorosha akiwa Dar baada ya kuhitajika na Afande Mroto kwa mahojiano*

- *Chadema walimtorosha kwa gari yao walioifunga bendera ya CCM hadi mpakani Namanga*

- *Haijulikani ni kwa nini Chadema wana hofu kubwa huyo dereva kutoa maelezo juu ya tukio lile*

- *Maisha yake yako shakani, anahitaji msaada*

Taarifa isiyo na shaka niliyoipokea toka makao makuu ya Chadema inaeleza mvutano uliopo kati ya Tundu Lissu na Freeman Mbowe juu ya lini Lissu anarudi na zaidi juu ya yeye kurejea nchini akiwa na dereva wake.

Chadema wamekuwa na wasiwasi mwingi juu ya dereva huyo kuhojiwa na Polisi kuhusu tukio la kikatili la kushambuliwa kwa Tundu Lissu.

Dereva huyo alitoroshwa kwenda Kenya akitokea Dar es Salaam siku ambayo RPC wa Dodoma alipotangaza kumtaka dereva huyo afike kituo cha Polisi Dodoma kwa mahojiano akiwa kama shahidi wa kwanza aliyekuwepo eneo la tukio.

Chadema walitumia gari aina ya Toyota Landcruiser na kuifunga bendera ya CCM ili wasipate usumbufu njiani na kuwafanya askari wafikiri anayepita ni kiongozi. Gari hilo lilimpeleka dereva huyo hadi Namanga, akavuka mpaka na kwenda Nairobi.

Chadema inajulikana kwa kupanga njama ovu dhidi ya watu wanaoonekana tishio kwenye nafasi ya uenyekiti wa Freeman Mbowe. Kati yao wengine walifukuzwa uanachama na wengine walipoteza maisha katika mazingira ya kutatanisha, kama ilivyokuwa kwa Marehemu Chacha Wangwe na Marehemu Philipo Magadula Shelembi.

Hivyo hofu ya viongozi wa Chadema kutotaka dereva huyo afanye mahojiano na Jeshi la Polisi inatia shaka uhusika wa viongozi wa Chadema katika tukio lililompata Tundu Lissu, na ndio maana pamoja na mengine juhudi kubwa zinafanyika ili asiwe mgombea wao wa Urais katika uchaguzi utakaofanyika October 2020.

Hadi sasa hawajafikia muafaka sababu ya hofu hiyo. Na bado wanaendelea na mazungumzo na ndio maana hadi sasa bado ratiba ya ujio wa Lissu bado haijawekwa hadharani.

Ushauri wangu kwa huyo dereva ni awe makini na usalama wake, kwani kuna watu ndani ya Chadema hawataki atoe ushahidi kuhusu tukio lililompata Tundu Lissu, hivyo kama hawataki ahojiwe kwa njia yoyote basi hata usalama wake uko shakani.

Anapaswa alitazame hilo katika jicho la kiintelijensia na ajue wabaya wake wasiotaka ahojiwe na jeshi la Polisi, na wanaweza chukua hatua yoyote kuhakikisha hafiki mikononi mwa Polisi. Nawashauri pia ndugu zake walitazame hili, pia na Jeshi la Polisi waangalie namna ya kumsaidia huyo kijana maana yuko katika mikono isiyo salama kwake. Ova.

Imeandikwa na:-

Deo Meck.

Mitaa ya Ufipa, Dar es Salaam.
 
Pengine Deo meck ndiye Dereva wa ile Nissan nyeupe iliyotumika kwenye shambulio kwani ni mtu mwenye roho mbaya sana haitakuwa ajabu kusikia alihusika moja kwa moja kwenye shambulio la Tundu lisu
Jomba mimi sina hata leseni ya udereva, ila amini nilichokuambia. Mchezo ndivyo ulivyo
 
Nasikia wagombea urais huko lumumba ndiyo wameanza kurudisha form, wamerudisha wangapi leo?

Back
Top Bottom