minyoo
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 21,640
- 20,366
Walinzi wa getini majirani wafanyakazi wa garden na pia wafanyakazi wa ndani cctv camera vyote vilitosha kutoa jawabu juu ya shambulio la Tundu lisu, hakuna haja ya kuhangaika kutaka kununua Dereva apotoshe ukweli.