Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 47,011
- 144,371
kupitia twitter,kada wa CHADEMA,Vitusi Nkuna leo ameandika kuwa Lissu katangaza nia ya kugombea uraisi kupitia CHADEMA.
Kama haitoshi,Mayor wa Ubungo, Boniface Jacob muda wa kama lisaa limoja lililopita, kaandika kupitia twitter maneno haya hapo chini huku akiambatanisha tweet yake na picha hii:
Welcome back home, The Game Changer.!
Kwa maelezo haya ya leo ya hawa viongozi na makada wa CHADEMA kupitia twitter,je,maelezo haya si kuashiria Lissu anarudi nchini na atagombea uraisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA?
Na kwakuwa hatuna Tume Huru ya Uchaguzi,Lissu atakuwa anagombea tu pasipokuwa amejipanga?
Wacha tusubiri muda uje uthibitishe.