Tundu Lissu kupewa tuzo ya mwanasiasa msomi na mtetezi wa haki za binadamu barani afrika na duniani

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,898
TUNDU LISSU kupewa tuzo ya mwanasiasa msomi na mtetezi wa haki za binadamu barani afrika na duniani.

Sambamba na hilo umoja wa mataifa utamtunuku tuzo maalumu kwa kuwa binadamu wa kwanza na msomi anayezijua sheria za kimataifa.

IMG-20190305-WA0054.jpg
 
TUNDU LISSU kupewa tuzo ya mwanasiasa msomi na mtetezi wa haki za binadamu barani afrika na duniani
Sambamba na hilo umoja wa mataifa utamtunuku tuzo maalumu kwa kuwa binadamu wa kwanza na msomi anayezijua sheria za kimataifa
View attachment 1038810
Anapaa huyo, anapaa huyooooooooooooooooooooooooooooooooo! Mungu mbariki TL, Mungu mponye TL! Mungu mlinde TL!
 
TUNDU LISSU kupewa tuzo ya mwanasiasa msomi na mtetezi wa haki za binadamu barani afrika na duniani
Sambamba na hilo umoja wa mataifa utamtunuku tuzo maalumu kwa kuwa binadamu wa kwanza na msomi anayezijua sheria za kimataifa
View attachment 1038810
Binadamu wa kwanza na msomi anayezijua sheria za kimataifa.
Hii sentence kwa kizungu wanaiita category gani ktk hizo tuzo?
 
56 Reactions
Reply
Back
Top Bottom