Tundu Lissu kuongea na vyombo vya habari vya nje ndiko kunakofanya viongozi wa serikali wapate kiwewe na kuweweseka

Kadiri siku zinavyokwenda kuna vitu vinazidi kufanana na kuungana.
1.Kwenye sakata la vyeti vya Bashite, Jiwe mwenyewe aliingilia na kufunga mjadala.
2.Baada ya uvamizi wa Clouds, Jiwe alimtosa Waziri na kulazimisha kuwapatanisha 'vijana' na baadae 'msaada' wa matibabu, kufunga mjadala.
3.Bashite alipokwepa kodi, Jiwe 'alimbembeleza' tofauti na kungine na kwa wengine.
4.Bashite anajenga li hoteli linalozidi uwezo na kipato chake HALALI. Wenye kosa kama hilohilo huko Takukuru na kungine wametumbuliwa.

Mazingira yanaonyesha kuwa, swala la kushambuliwa TL halitokuja chunguzwa na serikali/polisi kwani liliendeshwa na Bashite na kikundi chake. Jiwe hataki.
Bashite kuweweseka kujibu mambo yalomzidi uwezo wake wa ufahamu ni dalili tosha ya kumfanya prime suspect.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna siri ya watu zaidi ya wawili......

Bado Mimi naamini ipo siku ambayo haijulikani, ambapo majina yote ya watesi wa Lissu yatakuwa hadharani..........

MWISHO WA UBAYA AIBU
 
Back
Top Bottom