kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 14,089
- 15,933
Makupe ya aina hii yalikataliwa kitambo!Mtu anapokea mshahara wa mamilioni,
Mm ninaepokea vilaki vyangu bado nimchangie yeye.
Daah kuna waafrika wenzetu ni wanyonyaji sana huyu mzee ni mmoja wao.
Sent using Jamii Forums mobile app