Tundu Lissu kuitwa kwenye Kamati ya maadili ya madiwani Singida

acha unge.mse. Nge mkuu, tuwekee hapa janvini riport ya utafiti wako huo, wananchi wananjaa watachangia vipi? Hizo za posho za vikao zingejenga shule ngapi huko singida?
Ni vyema pia na wewe uache unge,se, kwa sababu hili ni jukwaa huru. Akili yako imetoboka toboka kama ya Lissu
 
Hoja hii ni ovyo kivipi wakati nchi nzima michango inachangwa, kwa nini Singida Mashariki pekee ndio michango isiwepo?
Buchanan
Nilishawahi kukwambia kuwa as JF Moderator unapaswa kuwa moderate kweli kweli.
Lissu anadai taarifa ya Michango kuna ubaya gani hapo.
Halafu jiulize ni kwanini watu wametii amri ya Lissu ya kutokuchanga?
Kwanini wasimpuuze na kuendelea kuchanga ?
 
Last edited by a moderator:
Ni kwa sababu ya kuzuia michango ya maendeleo hadi taarifa za michango hiyo zitolewe! Baadhi ya Madiwani wamemwagiza Tundu Lissu atoe michango hiyo toka mfukoni mwake kama hataki watu wachangie, lakini Diwani mmoja amedai kwamba anajua kwamba Lissu ni mwanasheria lakini matendo yake hayafanani na taaluma yake! Hata hivyo Tundu Lissu ameshikilia msimamo wake wa kuzuia wananchi kuchangisha michango! Kwa hiyo imeamuliwa afikishwe kwenye Kamati ya Maadili ya Madiwani ili kumjadili! Source: Habari, Star Tv. My take: Kamanda Lissu kubali tu yaishe, Jimboni kwako hali si shwari kuhusu wewe! Ni ushauri usiohitaji malipo yoyote!

Lissu siasa na misimamo yako inaumiza wapiga kura wako, huku ntewa, ntuntu, mampando, mang'onyi, isuna, matongo n.k unategemea tutakuchagua tena?
 
Who is sikonge??? Utakoma wewe, hapa ni hoja tu. Huwezi zuia maendeleo kwa kudai taarifa ya fedha huu ni ukihio! Narudia tena tundu lisu ni kihio! Umeshindwa nini kuweka mifumo ya kujua fedha iliyochangwa na iliyotumika katika jimbo lake tu kama mbunge halafu ajigambe anaweza ikosoa serikali????? Endeleeni kulala!
 
Hoja hii ni ovyo kivipi wakati nchi nzima michango inachangwa, kwa nini Singida Mashariki pekee ndio michango isiwepo?

na kodi nazo tunazotoa takribani kwa kila tunachonunua au kuuza, ulishawahi jiuliza hilo swali, na hizo rasilimali zinazoteketea kwenye matumbo ya watu wachache tena bila hatua kuchukuliwa?
Sishauri sana mchezo wa kuchangisha changisha wananchi because the govnt is taking advantages over poor people with poor mind and I am not among them, may be you. Dont you know how much we are being exploited by this corrupt government? Go back to school if you have never attended any class.
 
na kodi nazo tunazotoa takribani kwa kila tunachonunua au kuuza, ulishawahi jiuliza hilo swali kwamba hizi fedha zinatumikaje, na hizo rasilimali nazo zinazoteketea kwenye matumbo ya watu wachache tena bila hatua kuchukuliwa?
Sishauri sana mchezo wa kuchangisha changisha wananchi because the govnt is taking advantages over poor people with poor mind and I am not among them, may be you. Dont you know how much we are being exploited by this corrupt government? Go back to school if you have never attended any class.
 
Kweli akili ndogo kutawala akili kubwa ndio matatizo yake haya, inawezekana vipi kupitisha bajeti ya kila kitu yahusuyo maendeleo ya nchi harafu maendeleo hayohayo amabyo yametengewa bajeti yaendeshwe ka michango ya mia mbili na elfu moja? Pesa zinazo pitishwa kwenye bajeti si nikodi za wananchi? siongei mengi naona hapa kuna siasa taka za watu wasiofikiria kwa kutumia vichwa,
 
Tatizo kuu ni kwamba Wananchi walio wengi, kulingana na utafiti wangu hawakubaliani na vitendo vya Lissu vya kukodi vijana wa kihuni ili kuwapiga wakusanya michango! Madarasa mbalimbali ya Shule za Msingi na Sekondari ujenzi wake mpaka sasa umesimama kwa sababu ya vitisho ya Lissu na vijana wake!

Wewe ni muongo! Mimi ni mmoja wa wananchi wa Singida Mashariki, watu wanafurahia hatua ya Lissu na wanamuunga mkono asilimia mia. Kwa taarifa yako huko vijijini kuna unyanyasaji na wizi mkubwa kwa jina la michango ya maendeleo. Watu walikuwa wakivamiwa na mgambo na vitu kuchukulia kwa jina hilo hilo la michnago ya maendeleo ambayo ripoti zake huwa hazitolewa na kilichofanyika huwa hakionekani.
Ni taarifa tu, mheshiwa Lissu aliahidi kukomesha uonevu huu akichaguliwa na sasa anatimiza ahadi yake.
 
Lissu siasa na misimamo yako inaumiza wapiga kura wako, huku ntewa, ntuntu, mampando, mang'onyi, isuna, matongo n.k unategemea tutakuchagua tena?

Kafie mbali Msambaru a.k.a Mccm.

munio wakho niukhuu inoooo.....nyokhwe!
 
Back
Top Bottom