Tundu Lissu kufanya mahojiano na Azam Tv tarehe 01, Januari 2018

ukawa2020

JF-Expert Member
Apr 1, 2016
339
1,314
Mjulishe na Mwenzako hii sio ya kukosa... Vita yake anianza upya.. atapiga pembe zote unazozijua...
IMG-20171230-WA0025.jpg
 
Angalau Chadema itatoka ICU maana Kakobe alikuwa anaizidi CDM kwa umaarufu, wote waliufyata angalau Sasa tutawaona kina Mbowe kwenye press conference za Lissu
 
Ndiyo akili yako ilipoishia hapo. Kwani uliambiwa kuna mashindano ya umaarufu kati ya Chadema na Kakobe?
Umaarufu bado anao [HASHTAG]#ngwinimkazavyuma[/HASHTAG] anayetenda maovu kila kukicha hata mkewe kuona hafai kuwa Rais wa Watanzania hivyo kugoma kumfanyia kampeni.

Uache kukurupuka na kuandika pumba.

Huyo Mkewe ni Mke Mwenzio?

Pambana kutoa Chama chako ICU sio kupambana na Rais utapasuka Msamba
 
Angalia akili ya ZWAZWA hii. Nani alikwambua kuna Mtanzania anataka kupambana na uchwara taahira wewe?
Kuongoza nchi kuna taratibu zake ni lazima zifuatwe siku nenda siku rudi na kujua kwamba yeye hayuko juu ya sheria na kufanya vile atakavyo kinyume na sheria na taratibu mbali mbali za nchi.

Kama alidhani yuko juu ya sheria za nchi basi amekula wa chuya ni lazima atubu tu hakuna jinsi vinginevyo frustrations za maovu yake mbali mbali zitaendelea kumtafuna taratibu.

Huyo Mkewe ni Mke Mwenzio?

Pambana kutoa Chama chako ICU sio kupambana na Rais utapasuka Msamba
 
Angalau Chadema itatoka ICU maana Kakobe alikuwa anaizidi CDM kwa umaarufu, wote waliufyata angalau Sasa tutawaona kina Mbowe kwenye press conference za Lissu
HIRIZI LITAKUWA LIMEKUBANA... NENDA KATUBU
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Ndiyo akili yako ilipoishia hapo. Kwani uliambiwa kuna mashindano ya umaarufu kati ya Chadema na Kakobe?
Umaarufu bado anao [HASHTAG]#ngwinimkazavyuma[/HASHTAG] anayetenda maovu kila kukicha hata mkewe kuona hafai kuwa Rais wa Watanzania hivyo kugoma kumfanyia kampeni.

Uache kukurupuka na kuandika pumba.
Shetani la lumumba hilo mkuu halitaki kutubu
 
  • Thanks
Reactions: BAK
azam TV , the super brand, siikosi hiyo , nitatoroka kazini mara moja nikamwone mzalendo namba moja wa Tanzania ,
 
Ninahofia umeme unaweza kuzimwa au AZAM TV kuwekewa mkwara mzito wa nini cha kuuliza matokeo yake mahojiano hayo kukosa mvuto unaostahili au AZAM TV kuyafuta.
mkuu BAK usijali wala kuogopa , azam nawaamini sana , hawa sio kama ITV
 
Back
Top Bottom