... tulihabarishwa humu kwamba Chancellor Angela Merkel alikuwa na mazungumzo marefu ya simu na mkuu wetu. Inawezekana miongoni mwa ajenda ilikuwa ziara za Bw. Lissu huko Ujerumani. Let's wait and see.Wachawi kazi kwenu, mkamzuie kwenye ulimwengu ulimwengu wa nyota
Aliongea nae kwa lugha gani...?... tulihabarishwa humu kwamba Chancellor Angela Merkel alikuwa na mazungumzo marefu ya simu na mkuu wetu. Inawezekana miongoni mwa ajenda ilikuwa ziara za Bw. Lissu huko Ujerumani. Let's wait and see.
... hilo hatukuambiwa japo sio tatizo kwa sababu wakalimani wapo - Kiswahili/Germany and vice versa.
Kabisa !
Sanaaaaaaaaaa