HFOOO
JF-Expert Member
- Aug 6, 2018
- 683
- 643
Umenena vyema mkuu wacha nikupe ushuhuda huu wakati nasoma Australia chuo kimoja huvi mjini Canberra nilipata kibarua mahali cha kuosha wazee na kufua nguo zao na kunyoosha pia na usafi wa Mazingira, kwa lisaa nilikuwa navuta dollar 110 mda mwingine hadi mia mbili kama familia inaowaleta wazee wapo na pesa,sasa kwa sababu nilikuwa mwanafunzi najikuta nafanya masaa 3 hadi manne ili nipate mda wa kwenda kujisomea Je! Ningesema nitulie masaa 8 au 10 kwa siku mbunge wa tz hakuna kitu tu.Unajua malipo yao yakoje huko?kipato cha mbunge wetu hapa TZ,Ulaya si lolote mkuu.
Ulaya kama brain ya mtu iko vizuri,kunalipa sana,lkn kama ni Lusinde au Milinga type hapafai.
Hapa kwetu vyeo ni vikubwa lkn kipato kidogo,tofauti kabisa na nchi za ulaya.
Utakuta mtu ni mbeba mabox tu huko ulaya lkn kipato chake hakilingani hata kidogo
na Afisa wa ngazi ya kati hapa kwetu.
Pili,sarafu yao iko juu sana tofauti na yetu....12mill etc za mbunge wa TZ ni pesa za
madafu kwa wenzetu
Bahati mbaya sana shirika walionifadhili walikuwa na sheria moja soma ukimaliza rudi nchini mwako na hawakupi hata document yeyote ya kwenda kuomba walau kubaki hata mwaka mmoja upige kazi.