Tundu Lissu kuanza kibarua kipya 01.10.2019

mbona Harmorapa analindwa ... ana adui yeyote?
sometimes its a prestigious....
showing power
Mjomba kulindwa sana watu sio ndio kuwa unaishi kwa upendo ama maisha mazuri,Allah anamvuta vuta huenda akafanya toba,Mimi naamini wale wote waliopanga njama za kumuua Lissu Allah atawahukumu kwahapa duniani adhabu ndogo,kaburini ndio kabisa hapo bado kusimama kiyama bado,Dunia isituhadae jamani
 
Jiwe anatakiwa nae amuombe msamaha TL kwa ile mvua ya Kalashnikov!!!

LA sivyo ataishi maisha ya mashaka sana! Na hatutaacha kumnanga kwa uhalifu aliomfanyia Lissu!

Hao mabeberu wenu wana kamsemo kanasema " You are having a lough mate".
 
..CCM watafura kwa HASIRA.

..Nia yao ilikuwa TL akawapigie magoti.

..faida ya kuwa na elimu na maarifa yanayotakiwa popote duniani ndiyo hiyo.

..siyo kuwa na elimu halafu huna mahali pa kwenda isipokuwa kuwa mtumwa wa CCM.
Kwann asijiajili???
 
Alisemaga FQ kwenye moja kati ya nyimbo zake "usimwamini muongo hata Kama akisema kweli"

Nitarudi tarehe niliyo shambuliwa, sasa anatafuta kazi ya kupanga fail za kesi za wabelgiji.

Kesi za ulaya ni zile mara ooh umefungulia mziki kwa sauti kubwa unapelekwa mahakamani, mara mbwa wako anasumbua wana apatimenti wenzio, mara ooh katoto kamekuambia GO TO HEL ukakafinya kanapiga cm polisi unawekwa korokoroni, mwee mara eti wife kagomea game umelazimisha nk

Rudi kihom braza tuijenge Tanzania ya viwanda kuelekea uchumi wa kati.
 
Hakuna neema yoyote hii nchi inaweza kupata ikiwa chini ya hawa ccm despots, pamoja na rasilimali zote ilizonazo Tanzania itabaki "Shithole" siku zote.

Mtu anatawala labda miaka kumi lkn legacy anayokuja kuacha ni one of a brutal despot leaving behind dismal orphans and disables as poor victims of his misrule. Bure kabisa.
 
Still nasimama na Lisu sababu hatukumstahili huyu jamaa, na hatujamtendea haki kama wananchi wa TZ, mwache awe anavyotaka shida ikowapi? Ulitaka afe njaa na elimu anayo? Ni wakati wa elimu yke kumsaidia yeye na familia yake na sio sisi tusio na shukrani tuliojawa na unafki!
 
Back
Top Bottom